Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,884
- 82,532
Siwanaita scrub sijui nini au ni make up?Hata wanaume wanapaka make up ushahidi wale wakaka na wababa wa bongo movie na bongo fleva(kwenye video zao hukuti mwenye chunusi mle)
Siwanaita scrub sijui nini au ni make up?Hata wanaume wanapaka make up ushahidi wale wakaka na wababa wa bongo movie na bongo fleva(kwenye video zao hukuti mwenye chunusi mle)
itabid nimpigie nimuulize aseeNdio kipindi cha msiba wa mzee ojwang,huddah alisema kuhusu hii role yake
hahahaEeh upo vizuri
Hivi kumbe huyu binti ni mweusi hivi!! Hahahahhh wazungu buaaana!Uzuri katokea familia yenye hela maana angekua kajamba nani angeshajikrim zamaan
Wakenya wanabagua sana weusi kwa majina yao ya dark skin etc
Ila sasa kama anajikubali kwanini kaweka hayo makatani kichwani???
Yani hamna kitu sipendi kama hayo madudu. Ni vile tu tunavumilia
ACHA KASHFA WEWE!Duh sasa huyo wa mwanzo ukiwa nae chumbani hata ukiwasha taa ya watts 100 si bado kutakua na giza?
picha hii haijaleta maana kwenye uzi huu.Kujipamba kidogo si mbaya hasa pale kwenye mtoko wa nguvu
View attachment 500082[/b]
😀😀😀😀 hapo sawaMkuu sio kila kitu kikamilike unaweka na vionjo kidogo a.k.a chorus (kiitikio)
Embu fikiria mtoto kama huyo angekua na locks au ana afro cut ndogo ananogaje?Aaah ka kitu kadogo tu unakosoa!?? Tumpongeze katunza rangi yake,mengine makosa ya kibinadamu tu
Embu fikiria mtoto kama huyo angekua na locks au ana afro cut ndogo ananogaje?
Ni mzuri sana kwakweli wacha nimsifie tu. Na wanakuaga na .........nyekunduu kama epo. Kwann usitoe mahari
Nifah naona hii picha ya pili ni ya me&ke au!Huyo wa kwanza nimemkubali kinoma,ni mzuri sana.
Ila huyu mwingine (before & after makeup) [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Mzuri sana, rangi yake haiondoi ukweli kuwa ni mrembo mweusiDuh sasa huyo wa mwanzo ukiwa nae chumbani hata ukiwasha taa ya watts 100 si bado kutakua na giza?