Black American's na Black South Africans kwanini wanafanana kitabia hawa jamaa?

Zimbabwe baada ya uhuru wazungu hawakuwa na power. Cha zaidi ni kwamba mugabe aliintroduce sheria kali za kuwabana wazungu ikiwamo kuwanyang'anya mali zao na kuwapa waafrika.

Nadhani haujafuatilia history ya hizi nchi za Africa especially hiyo ya Zimbabwe na South Africa ukajua walipitia maisha gani kabla na baada ya uhuru.
 
Unaifahamu UDI, Unilateral Declaration of Independence ya iliyofanywa na Ian Smith mwaka 1965?
Zimbabwe ilipata 'uhuru' lakini ikawa chini ya minority rule kama South Africa, hadi mwaka 1980 ndio ikawa na majority rule

Na point hapa sio Zimbabwe tu, Waafrica wote wamepitia segregation na kazi za shuruba wakati wa ukoloni na kamwe hiyo haiwezi kutumika kama excuse ya kubagua Waafrica wenzio au binadamu yoyote yule
 
Hebu nipe mifano ya ubaguzi wa wazi kama uliotokea hapo South Africa.

Nipe mifano kutoka mataifa mengine ya waafrika.
 
Kiufupi wpte wapo nchi zilizoendelea sana ambazo hazikwepekj kupata wageni wakiwamo wa afrika wenzao.

Leo hii wanaijeria huko marekani ndio kundi la kwanza kwa kuelimika hata muhindi haoni ndani, wanaijeria wanapata kazi kibao sana, wamarekani weusi wanachukia sana wanapoona hii. Wivu!!!

Kwa afrika kusini nako wazimbabwe wanachapa kitabu si mchezo, wazulu wanachukia.

Ngozi nyeuc hizi acha tu
 
Waarabu hawakuwa na ubaguzi huo!! Watunzi wa vitabu vya historia wengi walitwist historia ya waarabu ktk afrika ya mashariki. Wabantu waliishi na waarabu ktk pwani ya afrika mashariki kwa zaidi ya miaka 800 ila hakukuwa na ubaguzina mateso kama waliyokuja nayo wakoloni wa kizungu.

Mfano mzuri tu ni makatili wa kireno na kijerumani jinsi walivyokuwa wakivamia maeneo ya wabantu kuwaua na kuwabaka wanawake na wengine kupelekwa utumwani.

Niambie vita hata moja ambayo wabantu walipigana na waarabu ktk hii pwani ya afrika mashariki licha ya kuwa wameishi pamoja zaidi ya miaka 800
 
Wewe itakuwa Muislam 😂😂
Mnatetea Waarabu Kama vile watakatifu, wakati mabeki tatu huko Qatar, Saudia, Lebanon wanafanywa watumwa hadi Karne hii
 
Naona unaenjoy penzi la mwarabu huko omani..kimsingi waarabu ni makatili na wabaguzi wakutupa..wamehasi sana babu zetu.

Njoo bongo niambie weusi wangapi wameoa waarabu naosemea waarabu halisi sio hao waarabu koko wa tabora.

Acheni kujipendekeza kwa hao wabaguzi.

#MaendeleoHayanaChama
 
We choko unakatwa kinyeo na wajerumani...!!! Una ushahidi gani kuwa babu yako alihasiwa??
 
Baada ya kubaguliwa kwa muda mrefu, hasira zao zote wamezihamishia kwa Waafrika au weusi wenzao ambao sio wazawa wa sehemu hizo. Hivyo Marekani mweusi anajiona bora kuliko Mwafrika mweusi na wale wa Sauzi wanajisikia vivyo hivyo.
 

Ni hoja ya kijinga sana.
 
Ati waarabu hawakuwa na ubaguzi huo. Waarabu hawakuwa na mateso?

Ubakaji wa wanawake, kudumaza wanawake ni tabia za kiarabu- kwenye mchanganyiko au ubakaji wao unadhihirika kuanzia yemen ethiopia mpaka somalia-na hata Zanzibar.

Wacha kutwisti na wewe.
 
Hujakutana na wajamaica na Haitian wana tabia hizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…