kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,775
- 20,689
Kitobo ni kile kile tu .... mnahangaika sana
Nakubaliana na wewe kwenye umalaya na ulevi ila hapo kwenye adabu sio kweli 😁Acha kujidanganya, Kitendo cha kuwa bikra tayari kinabeba heshima, kujitunza, nidhamu na mambo yote unayosema hapo.
Huwez kumkuta Malaya afu ni bikra.
Huwez kumkuta ni mlevi afu ni bikra.
Huwez kumkutana hana adabu afu ni bikra
Hii comment, Wanaume watajifanya hawaioni, ba wakiiiona watakuambia wee ni SIMP.Mimi huu mjadala huwa siuelewi. Sikatai bikra Inaongeza thamani ya mwanamke. Lakini hebu tuangalie na mazingira yenyewe. Wanaume tumekuwa tukihukumu wanawake kwa situation ambazo tumetengeneza sisi wenyewe. Wasichana wengi hupoteza bikra wakiwa bado wadogo kwenye teenages na ukifuatilia ni wanaume ndio wanawashawishi na kuwatoa. Hata binti wa watu akikataa bado mwanaume hutumia mbinu nyingi kumshwishi Mpaka kumtoa bikra halafu baadaye humuacha huyo binti na trauma... So tusilaumu pekee unless uwe hujawahi kuharibu bikra ya mtu.
Hawawezi kukuelewa hapa.Siwatetei Ila naeleza uhalisia, huo umri watu wengi wako kwenye exploration wanajaribu mambo mapya, hakuna maturity yoyote, Wachache wanaojitahidi kukaza wakifika Chuo zitatolewa tu. Tukubali hii jamii ya utandawazi Hilo ni suala gumu. Unless wanaume nao watulie wasubiri Ndoa ndio wasex, basi bikra zitakuwa nyingi sana
Labla kama ww unasema kukosa adabu ile ya kuwavunjia heshima wengine.Nakubaliana na wewe kwenye umalaya na ulevi ila hapo kwenye adabu sio kweli 😁
Kila upande umeamua kuchagua standard zake pale linapokuja swala la kuanzisha mahusiano.Mimi huu mjadala huwa siuelewi. Sikatai bikra Inaongeza thamani ya mwanamke. Lakini hebu tuangalie na mazingira yenyewe. Wanaume tumekuwa tukihukumu wanawake kwa situation ambazo tumetengeneza sisi wenyewe. Wasichana wengi hupoteza bikra wakiwa bado wadogo kwenye teenages na ukifuatilia ni wanaume ndio wanawashawishi na kuwatoa. Hata binti wa watu akikataa bado mwanaume hutumia mbinu nyingi kumshwishi Mpaka kumtoa bikra halafu baadaye humuacha huyo binti na trauma... So tusilaumu pekee unless uwe hujawahi kuharibu bikra ya mtu.
Wanaume tujifanye hatujaona hiyo comment kwa lipi? Hakuna anayebisha kwamba bikra ni adimu. Hoja ya msingi ni kwamba bikra ni ishara ya mwanamke ambaye hana makandokando ya kitabia yanayotokana na historia yake ya kimahusiano ya kimapenzi. Kwasababu hiyo bikra ni ya muhimu japo si kigezo pekee cha mke bora.Hii comment, Wanaume watajifanya hawaioni, ba wakiiiona watakuambia wee ni SIMP.
Basi sawaaWanaume tujifanye hatujaona hiyo comment kwa lipi? Hakuna anayebisha kwamba bikra ni adimu. Hoja ya msingi ni kwamba bikra ni ishara ya mwanamke ambaye hana makandokando ya kitabia yanayotokana na historia yake ya kimahusiano ya kimapenzi. Kwasababu hiyo bikra ni ya muhimu japo si kigezo pekee cha mke bora.