God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
bizzman alitoa wimbo wake mmoja mkali, ulikua ukichezwa daily radio one sterio.
ulikua unaitwa "ametoroshwa mpenzi wangu"
hihi kisa naona kama ni cha kweli maana jamaa alikua analalamika sana. hahahah pole zake.
yuko wapi siku hizi huyu bwana nime mmiss sana.