Bitooz,Nyangema,Brother men!!!

Mhh haya maneno hata sijui maana yake! tsubiri wengine.
Ila mie nipo katika kundi la binadamu
 
hebu tupe maana yake kwa kiswahili fasaha kwanza ili tujue tuko kundi gani.....lugha ya taifa imeshafanywa ya k******i sasa
 
mhh haya maneno hata sijui maana yake! Tsubiri wengine.
Ila mie nipo katika kundi la binadamu

haya naanza bitooz=mtoto wa kiume asiye na issue maalum mjini kila kitu mjuaji yeye heleni ,sigara ,pombe wanawake vyote mtaalamu yeye,a.k.a mpuuzi daraja la kwanza,mashauzi mengi ka mwanamke anaeanza vunja ungo. Nyangema=mtoto wa kitanzania aneuusudu umagharibi na kuukandia ubongo au uafrika wake daima atajifanya ye ka 2pac na itikadi zisizo na misingi imara mradi watoto weusi wa kimarekani wanatukuza naye atafanya pia,brothermen mtu wa kujifoji kishoboshobo ka m**nge ,haeleweki ni mtoto wa kiume au mwanaume mradi shombo tu +mtu wa totoz za geti kali zenye kushoboka ,
 
haya majina mbona kama yako group moja haya wewe pdidy hujasema kama uko group gani? sredi zingine mh!
 
Wala haina haja ya kumjibu, mtu mwenyewe keshakuwa Banned, si ajabu ni kwa ajili ya hii thread yake ya kijinga
 
Back
Top Bottom