Bitcoin yazikwa rasmi

Bitcoin yazikwa rasmi

Kwa maelezo zaidi, tembelea hiyo link hapo chini.
Code:
[url=http://bbc.co.uk/news/technology-25772431]BBC News - Silk Road forfeits Bitcoins worth $28m[/url]

mbona nimesoma ni bitcoins ambazo zimetumika kuuza na kununua vitu silkroad na sio bitcoins kama bitcoins. wameziseize coz wanahisi zinatumika kufanya biashara haramu
 
I don't believe on bitcoins,I rather stick on stocks but not buying bitcoins
 
Kwa maelezo zaidi, tembelea hiyo link hapo chini.
Code:
[URL="http://bbc.co.uk/news/technology-25772431"]BBC News - Silk Road forfeits Bitcoins worth $28m[/URL]

Unaelewa lakini au umekimbilia kukopi na kupesti?!!:sleep:
 
Sasa watanzania watanunua wapi bitcoins kwa Tanzania?
 
Unaelewa lakini au umekimbilia kukopi na kupesti?!!:sleep:

Siilewi Mkuu,
Ningefurahi kama ungenielewesha..

Kukopi na kupest? Sioni kama kuna kitu nichopest hapa zaidi ya kutoa link!!
 
Siilewi Mkuu,
Ningefurahi kama ungenielewesha..

Kukopi na kupest? Sioni kama kuna kitu nichopest hapa zaidi ya kutoa link!!

Umekopi na kupest link! Ungechukua hata dakika chache kukisoma kilicho kwenye hiyo link usingeandika hiyo title uliyoandika! Hao FBI wamekamata bitcoins zilizokuwa kwenye mzunguko wa silkroad tu kwa sababu zilikuwa zikitumiwa na wauda madawa, ni sawa na LE kukamata pesa kutoka kwa drug cartel yeyote hauwezi kusema "dola sasa yazikwa rasmi"!!!! No one has the ability to shut down bitcoin au crypto currency zingine kwa sababu haziko centralized, hakuna benki kuuu, hata Nakamura mwenyewe aliyebuni hiyo code hana ubavu nayo tena, watu wana wallet zao online na offline, hata ukisema leo zimepigwa marufuku watu bado wanatrade! FYI, hii ni multi billion business inayorun underground, haihitaji kuwa na benki wala kufuatiliwa na taasisi za kifedha! Pitia link hii niliwahi kutoa darasa kidogo kuhusu bitcoins: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...;-uliza-chochote-nitajitahidi-kukujibu-2.html
 
MKUU CYBERTEQ,
Shukrani sana kwa Darsa..
Nakubali kosa, so take it easy guys!
Nililenga hiyo Silk Road ila title kidogo imeenda mrama.
SORRY GUYS!!

Code:
Discussion is an exchange of knowledge; an argument, an exchange of ignorance.
 
Last edited by a moderator:
MKUU CYBERTEQ,
Shukrani sana kwa Darsa..
Nakubali kosa, so take it easy guys!
Nililenga hiyo Silk Road ila title kidogo imeenda mrama.
SORRY GUYS!!

Code:
Discussion is an exchange of knowledge; an argument, an exchange of ignorance.

Usijali Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom