Bishop na Bingwa wa Utabiri Dickson Kabigumila asema 'Utekaji na Watekaji mwisho wake ni mwezi 8/2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia.

Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi.

Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI yanayoendelea.

Watu hao wameamua Rasimi kuanzisha Vita dhidi ya Wahusika wa Udhalimu huo.

Na kwamba Kati ya Mwezi huu wa Sita Hadi mwezi 8 ndio utakua Mwisho mwisho wa Utekaji na Watekaji wake.

Habari gani Kwa Watekaji? Bishop Kasema, Watekaji watauliwa wooooote yaan watekaji wote kwenye hiko kikundi watauliwa wooote kupoteza Ushahidi !!.

Bishop anawacheka 'Wametumiwa kama Pundaaa alafu wanauliwa kizembe '.

Bishop anasisitiza 'Maamuzi yameshafanyika ya kuumaliza Utekaji na Watekaji wake '.

Hapo ndipo mtaelewa, Kwann Gwajima kafungiwa Kanisa Leo, na Chuma inakaidi inaendeleà na Ibada yake kama kawaida 🤣🤣
Freedom is Coming !!!!
 
Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia.

Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi.

Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI yanayoendelea .

Watu hao wameamua Rasimi kuanzisha Vita dhidi ya Wahusika wa Udhalimu huo.

Na kwamba Kati ya Mwezi huu wa Sita Hadi mwezi 8 ndio utakua Mwisho mwisho wa Utekaji na Watekaji wake.

Habari gani Kwa Watekaji?? Bishop Kasema, Watekaji watauliwa wooooote yaan watekaji wote kwenye hiko kikundi watauliwa wooote kupoteza Ushahidi !!.

View: https://youtu.be/go_JQCoN2FI?si=5hdsJgp74LRc9taz

Gwajima kashafungua CODE kwanini utekaji hauishi.

Ameshauri kwamba IGP,CDF,DGIS wakishateuliwa na mamlaka basi wasitenguliwe hovyo hovyo maana inaweza ikatokea kupinga utekelezaji wa issue ambazo hazina manufaa kwa nchi na akafukuzwa...ili kumlinda inabidi asitumbuliwe hovyo hovyo....Gwajima akauliza mbona DGIS wamebadilika mara tatu kwa muda mchache? Nadhani ushapata JIBU.
 
Jasusi la Mbinguni, ambalo ni Jasusi la Tanzania piaaaa Kwa kikao na majasusi yenzake ya hadhinza juuu ambayo mengine yalibadilishwa ,mengine yamestaafu, yamesema SASA BAAAAASI !!.

SAMIA MWISHOOO MWISHOOO MWISHOOO
 
1000038554.jpg
 
Mungu awapige kwa mapigo tofauti,nao watekwe na kuteswa, wafe kwa mateso makali
 
Maono sawa ila Watanzania ni muda wa kujipigania sasa!Zinduka usingizini
 
Back
Top Bottom