BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

Safi sana kakobe,washirikishe na wapentekost wenzako kuitetea tanganyika na kutetea rasmu ya warioba

uwakumbushe jinsi serikali ilivyotupa kapuni majina yenu katika bunge maalum na kuwachagua waganga wa kienyeji.
 
Mimi siyo mkiristu ila Dr Valentino Mokiwa amenikosha, kaongea pasina unafiki, tena kauliza hivi, mnasema waasisi wanatukanwa, mbona hamsemi hao wa tume, waloacha familia zao kuzunguka nchi nzima wakitafuta maoni, na tukawambia tunayoyataka, wakayaweka, kumbe kulikuwa na mawazo mengine mbadala, mbona hayakusimama ili mkaacha kutusumbua? ...mwisho wa kunukuu, siyo siri nimejikuta namshangilia kwenye tv, hadi nilokaa nao hasa mke wangu kapigwa butwaa
 
mkuu nimeipenda sana hii sentensi "ANAYEPINGA SERIKALI YA TANGANYIKA NI MHAMIAJI HARAMU"

yes, kwa sababu inasemekana wakazi wa bagamoyo ni MASALIA YA WATUMWA GOIGOI/DHAIFU kutoka congo/burundi, waliachwa baada hawawezi kufika kwenye soko la watumwa la zanzibar! hawawezi kuwa na uchungu na tanganyika!
 
  • Thanks
Reactions: mij
Nikiuchungulia ulimwengu wa roho nazisikia tarumbeta zinalia na Mungu aliyeumba Tanganyika analiambia lile joka la zamani liitwalo Ibilisi na shetani, 'itapike Tanganyika na mali zake ambazo ulikuwa unazitoa kwa wale wanaotoa kafara za watoto kwako, nimechoka na vifo vya watoto ambavyo umewadanganya watu wangu kuwa ni matatizo ya kiafya'.

Amina majeshi...

Wamepigwa wamepigwa, wamepigwa kabisaaaaaaaaaaaa............
 
Nikiuchungulia ulimwengu wa roho nazisikia tarumbeta zinalia na Mungu aliyeumba Tanganyika analiambia lile joka la zamani liitwalo Ibilisi na shetani, 'itapike Tanganyika na mali zake ambazo ulikuwa unazitoa kwa wale wanaotoa kafara za watoto kwako, nimechoka na vifo vya watoto ambavyo umewadanganya watu wangu kuwa ni matatizo ya kiafya'.

Wagalatia mna mambo !...........total myopic view !
 
yes, kwa sababu inasemekana wakazi wa bagamoyo ni MASALIA YA WATUMWA GOIGOI/DHAIFU kutoka congo/burundi, waliachwa baada hawawezi kufika kwenye soko la watumwa la zanzibar! hawawezi kuwa na uchungu na tanganyika!

Ina maana mpaka huyu nanihii nae ni mmojawapo?
 
===>Kaamua kusema ukweli kuwa
TANGANYIKA.jpg
Itazaliwa muda si mrefu,ni suala la muda tu,japo kwa taabu na fitina za magamba!
 
Safi sana kakobe,washirikishe na wapentekost wenzako kuitetea tanganyika na kutetea rasmu ya warioba

uwakumbushe jinsi serikali ilivyotupa kapuni majina yenu katika bunge maalum na kuwachagua waganga wa kienyeji.

Kakobe aunganishe Kanisa lake na Lusekelo, waunde serikali moja. Yesu ni yule yule !
 
Kombo nimeingia ulimwengu halisi kuliko huu unaouona wewe, ulimwengu ambao shetani yupo extremely effective for those who do not use the blood of Jesus.

.......ati mnatumia damu !??.........kwani nyinyi ni Muumiani ?!
 
Kama mchungaji ana wajibu wa kuwapa maarifa ya kiMungu waumini wake. Na ameweza kuwaonesha leo kuwa mpango wa Mungu ni kurudi kwa Tanganyika. Naongeza maarifa zaidi kuwa Tanganyika ilitolewa kafara kwa Lucifer katika zindiko la nchi, sasa mfalme wa utukufu anakaribia kurudi ni lazima Lucifer aitapike Tanganyika apende asipende.

Sasa ...tuseme Baba wa Taifa ndo aliikabidhi kwa huyo Lucifer !??
Daaah.....wagala !
 
Kakobe aliendelea kueleza, "Mungu pekee ndiye asiyefanya kabisa makosa, lakini hakuna mwanadamu hata mmoja duniani, ambaye amewahi kuishi bila kufanya makosa (MHUBIRI 7:20). Kuna upepo unaovuma ambao unataka tuamini kwamba Nyerere hakuwahi kufanya kabisa makosa. Roho hii, ni roho mbaya sana ambayo inataka tumkubali Nyerere kuwa ni Mungu ambaye hakosei! Tusiwe kama Korea Kaskazini wasiokubali dini za Mwenyezi Mungu tunazozijua, ambao walimtangaza rasmi Rais wao Kim Il Sung kuwa mungu wao. Pamoja na kwamba Rais huyu alifariki mwaka 1994, mpaka leo anajulikana kwamba ni "Rais wa milele" wa Korea Kaskazini! - Unaweza kuangalia taarifa hizi za mungu huyu wa Korea Kaskazini, kwa ku-Google, "North Korea's cult of personality - Wikipedia". Baada ya maneno haya, Kakobe alisema kamwe hayupo tayari kumwabudu "mungu Nyerere", kisha akasema mara kumi mfululizo,"NYERERE SIYO MUNGU". Na kuendelea,"Ni kweli kwamba Nyerere alikuwa Kiongozi wa kipekee, mazuri au mema aliyolifanyia Taifa letu, ni mengi sana kwa mbali ikilinganishwa na makosa yake. Hata hivyo, alifanya makosa kadha, na mengine mabaya sana, likiwamo hili la kutuondolea urithi wa Tanganyika yetu, kinyume na mpango wa Mungu".

Hebu Kakobe atuulizie mbona yule Dada anataka kutupiga puu ! lile ziwa Nyasa ?!
 
Back
Top Bottom