hahahaha, umenichekesha. ila hapa bondeni kwa madiba au kwa akina mudavadi pale kwa wakikuyu a.k.a wachaga wa Kenya wasingemchelewesha
Kumbe Makonda ndio Bashite?Naona anapenda sana kujipatia kiki kupitia mgongo wa mheshimiwa Paul Makonda.
Bashite alietajwa na Gwajima unamfahamu?[emoji53][emoji53][emoji53]
Sasa kama humfahamu mbona hapo juu kwenye huu uzi unaomhusu Bashite umecomment kuwa Gwajima ni mgomvi sana? Ulikuwa unamaanisha nini??[emoji32][emoji32][emoji32]Simfahamu.
Sasa kama humfahamu mbona hapo juu kwenye huu uzi unaomhusu Bashite umecomment kuwa Gwajima ni mgomvi sana? Ulikuwa unamaanisha nini??[emoji32][emoji32][emoji32]
Kwenye hii habari ya hii thread kagombana na nani?Ni mgomvi.
Mbona hajapanda juu ya bati kutoa habari zake! Watu wameingia kwenye ukurasa wake na kusambaza jumbe zake. Wangekaa kimya nani angejua na kufuatilia hayo?Wanatutumia sisi kama uwanjwa wa vita vyao, ingekuwa amri yangu ningewafunga kamba nawavutia mbali kabisa baharini wakamalize ubishi wao ndipo warudi,
Sasa hivi wameteka akili za watu wanaacha kufanya kazi kila kona wanazungumzwa wao
Kuna jambo hamjalielewa watanzania Jamaaa yupo kikazi zaidi anasaka pesa mnapomfollow kwenye account zake za kijamii yeye anaingiza pesa kumbe lazima atafute visa vinavyolenga maelekeo yenu ili awateke mmumsikilize. Endeleeeni kusikiliza yeye anaingiza pesa.
Kusikia kwa kenge si eti eeh?..."kwigwa kwa mbulu... mininga mu matuh!" Yetu macho na masikio
mbona wewe ni zaid ya lofaHuyu nae anatufanya watanzania malofa
Unamanisha nini mkuumbona wewe ni zaid ya lofa
hana ugonvi na makonda anaugonvi na bashiteNaona anapenda sana kujipatia kiki kupitia mgongo wa mheshimiwa Paul Makonda.
Kama sio mchungaji vileHuyo mchungaji ni mgomvi sana.