BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
yamenikuta!
Kesho nashuka na uzi mmu,title:
'nimekoma kulamba wake za watu',
stay tuned namhangaikia mgonjwa icu!
Ngoja akitoka Icu...
Alijifanya kidume akavamia jiji la Unga Ltd wamemla za uso hana hamu
yamenikuta!
Kesho nashuka na uzi mmu,title:
'nimekoma kulamba wake za watu',
stay tuned namhangaikia mgonjwa icu!
Teh na senene za kule Mulebaamezoea ndizi huyo mihogo atakonda...
He he he, waitu umerudi?
Kumbe sauti yangu inaweza kumtoa ngombe migombani?
Ndo utajibeba, nilikuwambia kama smoo hausi Konnie anakufaa wewe husikii, ona sasa wamekutenda.
sasa dada, unashangilia mwenzio kuumia au?
Hivi Bishanga ni mumeo mtarajiwa?Bishanga hana jeuri kwangu, ni kama nyoka kibogoyo, sumu yake haipiti.
Dada?
Uuuwiii
Nimetoka jukwaa fulani nimekuta huyu unayemuita dada anamtongoza Queen....
Lol joob true true
Kongosho mwenyewe kapoteza mwelekeo tangu Bishanga aje
Hahahahaaa kazi kweli kweli.....sishangai, namfahamu dada yangu huyu kwa vituko!!