Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,502
- 145,912
- Thread starter
-
- #41
nasikia na babu cheza alikuwepo!tanga raha bana, watu tumefaidije! Mi nilijitambulisha na ile ID yangu nyingine! Nimerudi salama mkwe, uskonde.
Heheheeeesijui atasema alikuwa wapi mwaka jana alisema mafuriko yalimzuia njiani, IDD alisema alikwama Machimboni sasa sikukuu hizi atasema nini maana hata mvua hakuna. au alienda Tanga kwa chabo atakuja na gazeti
Kaambukizwa na mkewe
Nimebakizwa huku Tng kuna mdada aliniokota stand akanipeleka kwao. Nilipo fika nikafungishwa ndoa. Na wameniambia nikijaribu kukimbia mimba itahamia kwangu, msaada wako pls niludi kwetu
nasikia na babu cheza alikuwepo!
mmezika salama wewe kibabu?
nashukuru tumemaliza salama msiba,mwambie The secretary aache kuwa ananivua nguo ku kadamnasi,nampenda sana ati.
hatujakutana barabarani,unanipeaje salam barabarani mpenzi?heri ya mwaka mpya
hatujakutana barabarani,unanipeaje salam barabarani mpenzi?
vipi umeshapata mkopo mwingine?
bishanga hakopi anakopesha,acha hizo. kwani unanipendea hela?
nani?@nyani ngabu,kidampa huyo hana hela ya kuhonga mwanamke,kwanza kula yake tabu sembuse kuhonga!We unafikiri nikupendee nini kama hujapata hela bado kaa pembeni nitamfikiria yule adui wako
nani?@nyani ngabu,kidampa huyo hana hela ya kuhonga mwanamke,kwanza kula yake tabu sembuse kuhonga!
hela mpango mzima
nani?@nyani ngabu,kidampa huyo hana hela ya kuhonga mwanamke,kwanza kula yake tabu sembuse kuhonga!
unapenda kuhongwa eh?