Bishanga bebiii!!!!

una maanisha nini kusign hapo?
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
ameingia huku eti kuja kuona mkewe anafanya nini? anibana, ananichunga na ananiondolea amani humu jumbani sijui kwanini wakati yeye anafanya madudu yake mm namwangalia tu, nimechoka naye my cousin lakini acha niendelee kuvumiliakwani ndoa ni kuvumiliana ila my luv kazidi sana.
heeee......... Cousin!!!!!!! Hivi shemeji Mentor yuko wapi?
 

mvumilivu hula mbivu my dada, ninafunga na kuomba kwaajili ya ndoa yenu ujue!!!!!!
 
njoo mujini hilo jina utaitwa hadi ukimbie.......... Btw nimeshamuona beibe wangu!


Aaaah!! Nasikia eti mujini hilo jina haliitwi bure. Lazima wa login kwenye wallet yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…