Birthday yangu jf

matambo

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Posts
727
Reaction score
118
jamani leo mwenzenu nilikuwa nasheherekea besidei ya kuazimisha miaka miwili ya kuwa mwanachama wa jamii forums tangu mei 14 2009, napenda kukiri kuwa nimeelimika sana katika kipindi hiki na napenda kushukuru Mungu na wanachama wote kwa michango yao mbalimbali

kila la heri jamani tuwe wanachama wazuri tusiotumia lugha mbaya , tukubali kukosolewa na tupingane kwa hoja za msingi ili kuelimishana

kila la heri nyote
 
Hongera, bado kusheherekea deathday yako ya kuwa jf.
 
hongera mwenzangu. mi mwenzio ndo nimejiunga leo na nina uhakika ipo siku nami nitasheherekea kama wewe....
 



Happy Birthday..
 

Muda wote huo umejifunza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…