Birth verification number

memento mori

Member
Jan 23, 2021
22
18
Hello brothers and sisters

Nahitaji msaada wenu, katika process za application ya HESLB, nilihitajika kuwa na Birth verification no, so nikaaply RITA, leo ni siku ya 4 bado kimya, nilitegemea birth verification number kuiona hapo kwenye application code. Je, huwa inachukua muda gani kupata hiyo number? au je kuna namna nyingine ya kuipata hiyo number?

Msaada wenu
 

Attachments

  • IMG_0098.jpg
    IMG_0098.jpg
    101.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom