Birds, So Cute

lakini hawachukui chochote zaidi ya PICHA
 

watu wa chaka tunawaita YVB, KISHWAHILI NI SHORWE BWENZI (unakumbuka staili ya kunyoa bwenzi?) nawajua ni common kwa Africa, lakn ndege wengi wanakuja huku Kati ya Oktoba na Novemba na kurudi Ulaya kati April na May, sasa hivi tuna migrants wengi hapa
 

Barn Owl ni kama Kibibi Kizee cha Turin
 
nadhani ingeanza na kampeni ya uhifadhi wa ndege hasa kwa MAPORI TENGEFU
 
NAKUUNGA MKONO KABISA, NA SI LAZIMA U PROTECT SPECIES WOTE UNAWWEZA TENGA KAENENEO KWA AJILI YA KU-POTECT flycatcher TU
 
nadhani ingeanza na kampeni ya uhifadhi wa ndege hasa kwa MAPORI TENGEFU

ujue huwezi kuhifadhi ndege pasipo kuhifadhi miti wanayoipenda na kutengezea viota pale. hili tatizo naliona dar. imefanywa kazi nzuri sana kupunguza kunguru weusi ambao wamekuwa chanzo cha kuua ndege asilia hapa, lakini mabungu yako wapi? Miti asilia ya pwani iko wapi? ndege hawataki ghorofa za kariakoo. wanataka vijito vya maji matamu na miti asilia. kwa hiyo nakubaliana nawe kuhusu uhifadhi wa ndege kwenye misitu tengefu, lakini pia tukiafiki wazo la kupunguza ukataji wa miti asilia au hata ipatikane njia ya kuipanda na kuilea miti asilia, tutakuwa tunasaida preservation katika hii sense ya 'larger picture' ninavyoona mie. Restoration ya miti, restoration ya vijito asilia, kudhibiti negative forces za kuzaliana kwa ndege, etc. it may be a tall order lakini nadhani linatekelezeka.
 

yaani kabisa ndugu yangu... Mie si wa zamani sana... Ila kulingana na madhara ya usasa, nimetafakari nikaona nature is the best friend of living a happy and healthy life. Kuna mbuga ya hifadhi ambayo haina hata barabara ya lami wala haieleweki as in terms of kuwa na malazi kamili. Ni mbuga ambayo ina species tofauti za maua na pia ndio pori pekee lenye ndege wahamiaji... Tourist birds from australia to here..wanabreed kisha wanarudi kwao... Jamani.. I do pity my country..for we have everything and yet we are so far behind... Yaani naumia mpk.... Mungu tu atufanyie mageuzi...
 

enhee, wapi huko. Kitulo au?
 
sijaisikia hiyo IBA walaa.... eee mungu wa yakobo naomba hiyo IBA isiwe ni International Bird Abolition! enhee, em nambie sasa hiyo IBA ndo vitu gani?
mkuu usikonde, Bird Life International wameanzisha kampeni ya kulinda maeneo ambayo ndege adimu bado wanaonkena, kuna vigezo ambavyo vikitimia hilo eneo linajulikana kama Important Bird Area (IBA)
 
mkuu usikonde, Bird Life International wameanzisha kampeni ya kulinda maeneo ambayo ndege adimu bado wanaonkena, kuna vigezo ambavyo vikitimia hilo eneo linajulikana kama Important Bird Area (IBA)

weeeya! very good. I know an IBA then. ngoja nitulie nitaku-PM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…