Birds, So Cute

nilivyokuwa mdogo nilikuwa napenda sana ndege na ukichukulia daslam ndege wapo wa aina chahce tu(sholwe ndio kibao na tulikuwa tunawalaje),sasa mtu mzima maisha yameharibu peace of mind,nikitune natgeowld nikakutana na ndege naflip channel haraka sababu wananiyeyusha,.lini ndege atasqueeze mbavu zangu kama anaconda,i watch some real stuff...dah ccm mtanibeba siku mkifumuliwa madarakani!!mmeniathiri sana kisaikolojia
 
Penda sana hii kitu ni vyema sana kubadilisha mandhari ya macho na akili pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…