Biomedical Equipment Engineering

Gilbert Kulawa

New Member
Joined
Oct 7, 2019
Messages
4
Points
20

Gilbert Kulawa

New Member
Joined Oct 7, 2019
4 20
Hello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko vipi hapa Tanzania.
Ahsanteni
 

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,149
Points
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,149 2,000
utapiga hela sana kurepair mavifaa ya mahospital,yale ma mashine ya uchaguzi nchi nzima baada ya mda yataanza kuhitaji repair na kazi yako hata si ya kuajiliwa wewe watakua wanakutafuta
 

fredy18

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2018
Messages
451
Points
500

fredy18

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2018
451 500
Ubaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Ndo vzr akapate exposure. Nna jamaa mmj Ana bachelor ya Biomedical anapiga pesa kishenzi, ndo Injinia mkuu Bugando wa hivyo vitu japo anatumiwa kanda ya ziwa nzima
 

Endo agar

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Messages
486
Points
500

Endo agar

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2014
486 500
Ubaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Muhimbili wanatoa degree ya biomedical equipment engineering, imeanza mwaka huu kaangalie list ya selected students 2019 muhimbili utakuta watu wamechaguliwa kwenye io kozi husika.
 

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
12,723
Points
2,000

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
12,723 2,000
muhas wameanza kutoa hio degree mwaka huu
Muhimbili wanatoa degree ya biomedical equipment engineering, imeanza mwaka huu kaangalie list ya selected students 2019 muhimbili utakuta watu wamechaguliwa kwenye io kozi husika.
Kama wameshaanzisha mwaka huu basi sawa
 

Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,909
Top