gota07
Member
- Feb 21, 2015
- 91
- 19
Naomba kujuzwa uhitaji wa biomedical engineers katika afrika ya mashariki hisusan Tanzania na viwango vya mishahara kwa watu wanaoanza fani iyo ila katika upande wa biotechnical system and technology ambayo inadili na kutengeneza mitambo ya mahospitalini.( medical devices)