Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,574
- 9,783
Classify bacteria on basis of morphology and staining properties
Msaada wenu wana biologia
Msaada wenu wana biologia
Kwa nn mkuuda biologia tamu sana
Nakushukuru sana Baba Swalehe kwa msaada wako nashukuru tenaKuclassify kwa staining properties kuna gram positive bacteria na gram negative bacteria nakutajia feature zao kila mmoja
Kwa gram negative ni hizi
1. They are made up of peptidoglycan layer
2. They have thin layer
3. They give a positive result on gram staining
4. They have lipolipids adding layer
5. Hawa ni easy ku be affected na lyzozyme enzyme
The order Lactobacillales comprises low G+C gram-positive bacteria that include both bacilli and cocci in the genera Lactobacillus, Leuconostoc, Enterococcus, and Streptococcus.
Sasa sikia mdogo angu mm ni mvivu wa kuandika za gram negative geuza hizo za juu ni opposite tuu
Haya tuje tuclassify bacteria according to morphology
1. Kwanza tuna cocci , hawa ni spherical in shape , tuna diplo tuna tetra cocci na kadhalika mfano wa hapa ni bac anayesababsha tetanus
2. Tuna rod shape , hapa tunamkuta baccilus na mdudu anayesababisha typhoid pia tunamkuta escheria colli common cause ya scarlet fever
3. Tatu tuna spiral shape , mfano mzuri hapa ni treponema pallidum a common cause of syphiliss
4. Tuna comma shaped bacteria mfano mzur ni vibrio cholerae anayesabsha kichocho
Mwifwa njoo umuongezee dogo point hapa
Kanikumbushia enzi hizo zaman.sana
Form ngapi mkuu ?!Nakushukuru sana Baba Swalehe kwa msaada wako nashukuru tena
Ngoja niendeleze mapambano ya msuli
Ila mkuu sijaelewa ulizo andika ndiyo gram negative au gram positiveNimejaribu kukusaidia
Ni kitambo sana
Jaribu kusoma kwa juhudi
Hizo nimeandika za gram positiveIla mkuu sijaelewa ulizo andika ndiyo gram negative au gram positive
Form ngapi mkuu ?!
Hahaha much thanksHizo nimeandika za gram positive
Gram negative ni opposite ya hizo
Bacteria wa gram negative ni bacteria wasumbuf sana yaan wao madawa mars nyingi hayafanyi kazi kwao
Ni shida hawa [emoji28]
Una maswal mengineNdiyo nimeingia Six
Yapo mengi tuu mkuuUna maswal mengine
Sawa uliza na ya physicsYapo mengi tuu mkuu
Acha uvivu kasome bs chapter two wameeleza vzuri sana na michoro ipoClassify bacteria on basis of morphology and staining properties
Msaada wenu wana biologia
Alafu ukitoa povu utanitambua maana huwa sichez na wavivu wa kusoma bsAcha uvivu kasome bs chapter two wameeleza vzuri sana na michoro ipo