biography

biography

Ibara ya tano kifungu kidogo, kinakubaliwa? Ndiyoooo! Teh!
 
ukiona hivyo ujue mbunge wa CCM anachangia hoja
 
Huyu mzee ni waziri tangia serikali ya Nyerere kama sikosei,dah yaani kama hakuna watu wengine vile wanaoweza kuwa mawaziri
 

sasa nawahoji

katika hiki kifungu kinacho husu kukatwa kodi kwa mishahara ya wabunge

wanaosema ndio nataka niwasikie kwa kauli moja,mzee akiwa usingizini NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO,ANAPIGA NA MEZA KABISA PA PA PA PA PA PA, hayo yote ndotoni yanafanyika
 
ndio walivyo hao wana wa magamba, hapo huko kasinzia....kuna wenzie wana wa magamba kibao ambao hawajasinzia lakini upeo wao wa kuelea mambo ni sawa tu na kama wangekuwa wamesinzia.... we have a very long way to go for this country to real break through (in terms of development)
 
Back
Top Bottom