brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
[emoji23] [emoji23] [emoji23] , Muu bhanahance mtanashati .....umepata muda wa kumbembeleza tunda
hahaha i miss u bhana ulifanyaje polee swt love[emoji23] [emoji23] [emoji23] , Muu bhana
nilianzisha thread ya Faiza Ally ila title mods hawaakuipenda waliiona kama ina maneno mabayahahaha i miss u bhana ulifanyaje polee swt love
usirudie tena mimi wewe kwangu ni kama tunda kwako nisipoona hii miwani napata presha 😉😉😉😉nilianzisha thread ya Faiza Ally ila title mods hawaakuipenda waliiona kama ina maneno mabaya
ha ha aa ha , sirudii tena Muuusirudie tena mimi wewe kwangu ni kama tunda kwako nisipoona hii miwani napata presha 😉😉😉😉
asanteeeha ha aa ha , sirudii tena Muu
Vipi hyo ya kwanza alamsiki umeielewaje?Haya wakali wa lugha njoeni hapa mnipe maana halisi ya neno Binuru
Nafahamu mtu akikwambia Alamsiki utaitikia binuru , sasa neno "binuru " lina maana gani??
Alamsiki navyofahamu ni kuwa mtu anakutakia usiku mwemavp hyo ya kwanza alamsiki umeielewaje?
Alafu nimeona mwanya mdomo mwako, nimeupenda sanaasanteee
HAHAHA USIANZE MIE SIO TUNDA PITA KIMYAKIMYAAlafu nimeona mwanya mdomo mwako ,nimeupenda sana
Kizuri kisifie bhana usikiache hivi hivi , ha ha hahHAHAHA USIANZE MIE SIO TUNDA PITA KIMYAKIMYA
Sasa binnur ni mwitiko wa kupokea kutakiwa huo usiku mwema.Alamsiki navyofahamu ni kuwa mtu anakutakia usiku mwema