Asante!
Mbona wamuonea hivyo mwenzio....mpangie tu ratiba!
Alafu, una uhakika kuwa hana simu yenye intertnet?? ( isijekuwa keshakuwahi oooh hoo)
Niko kwenye process (Navizia kabinti ka AshaDii) soma taratibu hapa asione...
Hahahahaha!!! Sasa itabidi unipe mbinu mbadala aisee maana mie nimenyoa upara jana tu...loldah........we mjanja!!
Lakini kumbuka, chelewa chelewaa.............(mume wake ashadii anakoa kwenzi huyooo!!!! hadi vibabu....shauri yako)
Mkague leo akirudi kwenye begi lake nafikiri ana IPAD....ila usimuulize kaitoa wapi..hahahahh..... Simu Under 11? No Way!!! Labda kama Finest kamnunulia... He has a soft spot for my binti :wink2:
Mkague leo akirudi kwenye begi lake nafikiri ana IPAD....ila usimuulize kaitoa wapi..
Hahahaha!.... Ngoja nianze mchakato..Swahiba hii inabidi tukaandikishane kabisa kwenye Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya ili Nitty asisogee
hahahahh..... Simu Under 11? No Way!!! Labda kama Finest kamnunulia... He has a soft spot for my binti :wink2:
Hahahahaha!!! Sasa itabidi unipe mbinu mbadala aisee maana mie nimenyoa upara jana tu...lol
Mi napita tu
Thanx kipipi.. Let me spread the word..
Fikisha ujumbe kwa binti yako tafadhali..Mi napita tu
Thanks Kipipi
Binti Komandoo.
Fikisha ujumbe kwa binti yako tafadhali..
Fikisha ujumbe kwa binti yako tafadhali..
Tena aufikishe leo leo!!
Mwambie tu asome kwa bidii manake mabinti siku hizi wanaweza bila kuwezeshwa.... Ajiamini.Naogopa kumuharibu
Naogopa kumuharibu