K kitorontomc Member Joined Aug 13, 2014 Posts 43 Reaction score 2 Oct 19, 2014 #41 wizara ya utamaduni na michexo vp mbona ipo kimya awalioni hili au?
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Oct 19, 2014 #42 kukumega said: Inamaana amezaa akiwa na mpaka 16au17. Click to expand... Ameanza kufanyaje kwenye huo umri???
kukumega said: Inamaana amezaa akiwa na mpaka 16au17. Click to expand... Ameanza kufanyaje kwenye huo umri???
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Oct 19, 2014 #43 Amini nawambieni hili nalo litapita na maisha yatosonga itabaki historia... Tanzania kila kitu kinawezekana nchi ya maajabu na miujiza!
Amini nawambieni hili nalo litapita na maisha yatosonga itabaki historia... Tanzania kila kitu kinawezekana nchi ya maajabu na miujiza!