Binti yamemharibikia

huu usawa wa Maghufuli ewe mwanamke kama hutaki kufanyakazi imekula kwako,hata siye wanaume tunaoa wanawake wanaojituma dunia imechange aiseeee
"Asiyefanya kazi na asile".
 
Binti mbugila sana huyo.
Wallah bahati hiyo ningeipata sijui ningekuwa wapi saa hizi...
Mil 50,30,20 + +
Daaamn!
 
Binti mbugila sana huyo.
Wallah bahati hiyo ningeipata sijui ningekuwa wapi saa hizi...
Mil 50,30,20 + +
Daaamn!
Binti aliwekeza kwenye penzi la serengeti boy.
 
Pole yake

Huwa sielewi wanawake wanaohonga aisee

Enzi za "ujana" kidume kikitaka kuhongwa mfurumsho atakaoupata hatonitafuta mwaka mzima
 
Thats why I love you baby, wewe unajitambua sana dear! Love You.

 
Life is a choice,and that is what she chose, let her face it. Simhurumii wala kumpa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…