Binti yako wa form I akipata mimba...

Binti yako wa form I akipata mimba...

Yup! Mfano mzuri ni Oprah Winfrey ambae alijifungua akiwa na miaka 14! ingawa mtoto alifariki, look where she is now. you never know what the future holds and you should not have to suffer for a mistake you made as a child for the rest of your life.

well!
binti akipata mimba mrudishe shuleni akasome!
huwezi amini atakuvokusuprise kwa kuwa binti anayejitambua ajabu!
ila ni experience ngumu maelezo hakuna,
kulea mtoto ukiwa mwenyewe mtoto!
DAH! honeyBee na The Boss u speak my mind i see!
 
Cousin yangu alipata mimba akiwa form 3 lakini alijutia kosa alilofanya. wazazi walimrudisha shule sasa yupo chuo kikuu mjukuu yupo chekechea anasomweshwa na kulelewa na bibi na babu. Kuna wengine walau wakijuta makosa yao wanaongeza bidii katika masomo yao.
 
Yup! Mfano mzuri ni Oprah Winfrey ambae alijifungua akiwa na miaka 14! ingawa mtoto alifariki, look where she is now. you never know what the future holds and you should not have to suffer for a mistake you made as a child for the rest of your life.

i had mine wen i was 17.
dah!acheni tu!
 
Jibu ni "c"

hata jeikei alisema wakipata mimba wakiwa bado shule reason ni viherehere vyao tuh vya kuhusudu dushelelee

mkuu heshima tele..hivi ile sredi ya kuhusu michael jackson,tyson na uislam...imetolewa humu na mods nini?nimeitafuta sana bana...au watu walikuja kuharibu sredi??samahani kuvaia mada hii.
 
Sijawahi hata siku MOJA kuona UJAUZITO kama ni dhambi ya kufuru!..Zamani yes but nowadays you better take it easily...Ni tatizo la WATU 2 bahati mbaya kwa sababu ya biolojia mmoja ndo anasuffer..Kama walivosema wengi kwa KIZAZI cha sasa FUTA vumbi na lea MJUKUU...Usikamripie sana BINTI mpe second chance...AKIHARIBU na hii basi DAMU yake na iwe mikononi mwake!!...MIMBA sio ugonjwa unless awe mdogo sana...............................................................
Nimemaliza!
 
Azae (tuombe azae salama), apate counselling ya kufa mtu halafu aendelee na shule. Baba wa mtoto akijitokeza ni jambo jema tushirikiane malezi. Kukimbilia kumfunga baba ya mtoto ni kuongeza idadi ya yatima bila sababu na kumuadhibu mtoto asiye na kosa.
 
Mkuu Mwanakijiji nikushukuru kwa hii changamoto, Ni ngumu kuisemea kwa haraka, japo majibu ya haraka yapo pia.

Binafsi yangu, Kama shetani nitaendelea kumkimbia, Nitamlea binti yangu na kumuonya na kumkumbusha mahusia aliyakiuka. Nitaendelea kumpenda na atarudi shule nikiamini hatachezea tena muda wake.(Mungu Baba wa Rehema naomba niendelee kuwa hivi nilivyo, Amen)

Lakini kama nitakuwa nimeshamzoea shetani sana, nitajiuliza maswali mengi sana, na itanipelekea kumfukuza binti nyumbani bila kujali ataenda wapi, (kwa kuwa nalinda hadhi yangu) huyo mtoa mimba lazima nimshikishe adabu (jela) ili na iwe mfano kwa wengine. Na mama yake lazima nimuadhibu pia, alikua wapi hadi mtoto anaharibiwa? nadhani pia sitataka kumuona huyo binti tena maana atakuwa amenikasirisha na kunichafua sana. na mengine mengi ya kufanana na hayo Mkuu. 'asomaye na afahamu'
 
Nimependa hapo nilipobold kwenye wekundu...nice message!!

hawajui kwani hawapewi hiyo elimu...kibaya zaidi wanapokuwa kwenye hatari ya kupata mimba (heat period) ndo wanaenda kugegedwa pekupeku ...wangekuwa wanajua nadhani siku hizo wangeshindia maji moto....

tujuze basi hapo kwenye red
 
Mimi nadhani REACTION inategemea aliyempa mimba ni mtu wa aina gani na ana umri gani??
Vilevile kama wazazi hawakutimiza majukumu yao ya kutoa elimu ya kuhimili mihemuko ya mabinti zao, dunia itachukua nafasi yake kutegemeana na mazingira ya mashetani wa ngono waliomzunguka.
 
mkuu heshima tele..hivi ile sredi ya kuhusu michael jackson,tyson na uislam...imetolewa humu na mods nini?nimeitafuta sana bana...au watu walikuja kuharibu sredi??samahani kuvaia mada hii.

heshima kwako pia mkuu

ipo imehamishiwa kule jukwaa la dini,,m-pm invisible akuunganishe kule
 
ciello. unachoongea sio sahihi hakuna baba anaependa amlee mwanawe vibaya unaweza kumlea mwanao vizuri na akawa yuko ktk geti kali mwisho ukaja ukaona unaletewa mimba ndani muhimu ni kutimiza wajibu wako wa kulea kuna msemo usemao bahari hailindwi.
 
Back
Top Bottom