Binti yake Raila Odinga aiomba msamaha Tanzania

Tunatumbua Majipu.Vituko vya jogoo kukimbiza kuku
 
Uk

Uko sahihi, we Tanzanians are jusy too polite, kila mmoja aliyechangia hapa anatakiwa kwenda kwenye page ya Ms. Odinga na kumwambia uongo wake ulikuwa wa kijinga, na wa kukera sana na siyo watu wote ni wajinga, japo inaonekana Watanzania waliokuwepo pale walikosa Utanzania. We have to speak for US.
 
Yaani huyu binti hapo amezidi kutukosea adabu na hatutokuwa tayari kumuelewa yaani atangaze akiwa kwenye mkutano yeye atuombe radhi kwenye instagram yake hii ni zaidi ya dharau ni bora angeendelea kuwa kimya na alichosema.
 
Mbona hao mashabiki wa CCM wameanza kupotosha kuwa aliyesababisha ni Nasary, kwa kukaa kimya wakati Mama Odinga anapotosha, ilhali anajua ni uongo. Kumbe ukweli ni kuwa hata huyo Nasari hakuwapo waliokuwepo walipelekwa kwa style ileile ya huyu mwenzetu wakaishia kupiga selfie tu za Instagram na FB. Kifupi wanajaribu kumtwisha Nassari mzigo wa Bodi ya Utalii au Kina Nyalandu walioenda kupiga picha na warembo kwa kodi zetu wakidai ndio kutangaza utalii. Chama kinachotawala kinafanya kila jambo la mhimu siasa tena za kipuuuzi matokeo yake ndio haya. KQ wanatumia Mt Kilimanjaro kama brand name kwenye ndege zake mamlaka zipo kimyaaaa.
 
Kulikuwa hakuna haja ya kuomba radhi. Kwa lipi baya alilolitamka ambalo viongozi wa Tanganyika hawajawahi kuyasema kwa nchi za wenzao. Mbona nyie mnasema Zanzibar si nchi wakati Tanzani ni muungano wa nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar . Mnasema Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika jambo ambalo si la kweli
 
Haya yote yanatokana Na uongozi mbovu wa serikali ya CCM, badala ya kufanya vya maana wako bize Na upinzani, chama na serikali vya ovyo sana kuwahi tokea duniani


Bado upo kwenye siasa!! Amka ndugu huu mwaka 2016 utadhalaulika
 
Well, i guess the lady meant what she said..........These other apologies are but meaningless excuses!!!!
 
Alijua anachokifanya!
Hata kama ataomba radhi publicly bado dhamira yake ameutekeleza ya kuhamasisha mamilioni ya vijana possibly na vyuo vyao kuplan trip to Kenya!
Amezungumza ktk youth conference in New York, hata akiomba radhi ktk KBC au Citizen TV bado atakuwa ana target local viewers (wa East Africa)!
She don't have to apologise labda waziri wao ili tuwa-hold responsible na adverts zao nyingine kama Mt. Kilimanjaro etc, sasa iwe ni nchi kwa nchi, lkn sio Hawa watoto wao!
 
We nawe umeongea pumba kabisa,kweli znz hampendi shule nimeamini
 
Haya yote yanatokana Na uongozi mbovu wa serikali ya CCM, badala ya kufanya vya maana wako bize Na upinzani, chama na serikali vya ovyo sana kuwahi tokea duniani
Kuna siku utamkuta mkeo/mmeo anatoka guest halafu utakuja kutuambia hapa ni uzembe wa serikali ya CCM
 
Nampenda huyo bint nizae nae maaana nadhani anataka azae na watanzania ili aunge undugu kabisa
 
kimfumo binti raila yuko sahihi, aliiona fursa, akagundua wenye nacho wamelala na hata akiwaibia hawatajua. mpaka sasa ameshinda gemu; umewasikia wazee wa hapa kazi tu wakisema lolote katika hili? wako wanafikiria namna ya kushin da umeya na uwenyekiti wa halmashauri maeneo ambayo upinzani una wajumbe wengi wa baraza la madiwani. haya ndo tunayoweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…