Binti wa zaman she is so amazing?

Asilimia 90 ya Wana JF kwa kipindi kile wala hata hawakufikiriwa kuja Dunia.
Babu yangu akipata kunisimulia mambo mengi ya mzee Nyerere ila nilipokuwa mkubwa nikajua wazee wa zamani si wakuamini sana .

Alikuwa na picha kadha wa kadha na baba wa taifa ila hiyo picha moja usipoaga kuwa unaondoka basi mtamaliza siku nzima kibarazani anakupa matukio hata mia ya hiyo picha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…