Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
wewe utakuwa unamuongelea mwingineHuyu Bint namkubali sana, She is real brilliant and headstrong woman.
She is unique and of Kind.
Tayari ana mtoto ambaye amezaa na jamaa ambaye baba yake alikuwa hamkubali kwasababu ya tofauti za kidini, lakini bint akaweka msimamo.
Songombingo yake ndiyo ikafuatiwa na ile 'filamu' ya akina Alex Massawe na scandal zao, lakini bint hakuyumba, mzee akashauriwa kuwa mpole, hakusikia,Bint akakata mawasiliano na mzee mpaka watu walipomshauri mzee ndipo akaanza kuwasiliana naye tena na kumpangishia apartment pale Richmond Towers, Upanga Mtaa wa Mindu floor No. ,ambapo ndipo akawa anaishi.
Kilichofuata, bint akampeleka jamaa kumtambulisha, ikabidi mtu mzima amwambie jamaa asubiri bint amalizie Chuo ndiyo mambo mengine yafuate. kwa kuwa bint anamfahamu vizuri mzee wake alijua kuwa lazima katika muda huo atakuwa ana plant kitu Vs Jamaa, ndipo bint akaamua kubeba mimba ya jamaa akiwa bado yupo chuo, hapo mtu mzima akaishiwa nguvu na kukubali matokeo.
Mwisho Bint alimaliza Shule yake Salama (Kama jina lake lilivyo), akiwa na katoto kake.
May be nimeshindwa kutofautisha Picture, ila ninaemuongelea mimi ni Dentist.wewe utakuwa unamuongelea mwingine
Huyu Bint namkubali sana, She is real brilliant and headstrong woman.
She is unique and of Kind.
Tayari ana mtoto ambaye amezaa na jamaa ambaye baba yake alikuwa hamkubali kwasababu ya tofauti za kidini, lakini bint akaweka msimamo.
Songombingo yake ndiyo ikafuatiwa na ile 'filamu' ya akina Alex Massawe na scandal zao, lakini bint hakuyumba, mzee akashauriwa kuwa mpole, hakusikia,Bint akakata mawasiliano na mzee mpaka watu walipomshauri mzee ndipo akaanza kuwasiliana naye tena na kumpangishia apartment pale Richmond Towers, Upanga Mtaa wa Mindu floor No. ,ambapo ndipo akawa anaishi.
Kilichofuata, bint akampeleka jamaa kumtambulisha, ikabidi mtu mzima amwambie jamaa asubiri bint amalizie Chuo ndiyo mambo mengine yafuate. kwa kuwa bint anamfahamu vizuri mzee wake alijua kuwa lazima katika muda huo atakuwa ana plant kitu Vs Jamaa, ndipo bint akaamua kubeba mimba ya jamaa akiwa bado yupo chuo, hapo mtu mzima akaishiwa nguvu na kukubali matokeo.
Mwisho Bint alimaliza Shule yake Salama (Kama jina lake lilivyo), akiwa na katoto kake.
Mbona hamna kitu hapo???Sijajua watu uzuri wanaangalia nini!
Maneno yako hatimae yametimia... hakyanani sikupuuzi tena dada faiza kuna mengi utakuwa unayasema kumbe yana kaukweli ndani yake, ona sasa ukweli ulivyojidhihirisha!!MashaAllah, halafu anaonesha ni kichwa kama baba'ke.
Hapana, huyo sio Mwanaasha, huyo jidada sio mtoto wa form IV huyo.Kumbe huyu ndiye MwanaAsha aliyepiga div 4.. Now nishamsoma.