Binti wa miaka 25 kufuatana na mama yake kila mahali ni sahihi?

Kwa upande wangu siafiki kuwa mke wangu atakuwa katika mazingira yasiyo hatarishi (kimchepuko) akiwa na mama yake au watoto wake WA KIKE. Naamini atakuwa katika mikono salama hasa akiwa na mtoto wa kiume (maana naye ana wivu na mamake biologically) au mama yangu mzazi (maana ni mahasimu kwani mama yangu ana wivu biologically na mke wangu) hivyo kuna kuogopana. Kufuatana fuatana na mtoto wako wa kike hasa kwa akina Kitwanga, humomonyoa maadili kwa watoto wa kike.
Nakuelewa sana sababu kila mtu na alivyo lelewa kwao na maadili yao....
 
Nakuelewa sana sababu kila mtu na alivyo lelewa kwao na maadili yao....
Kwa bahati mzuri najua watu wengi wa 'waja leo....' mama mtu huwa anamfichia madhambi binti yake sana. Ukilalamika kwa mama mkwe anakugeuzia kibao. Hataki mtoto wake aachike wakati huo huo wengi wanapenda wachepuke kwa raha zao. Ndo maana ya mawazo yangu yale ya awali
 
Sioni kosa, naona upendo baina ya mama na mwana, naona maadili mema hapa, naona kujiheshimu kwa binti hapa, naona uaminifu wa kweli kwa binti na mwisho naona malezi mazuri ktk familia hii.
 
Kwa bahati mzuri najua watu wengi wa 'waja leo....' mama mtu huwa anamfichia madhambi binti yake sana. Ukilalamika kwa mama mkwe anakugeuzia kibao. Hataki mtoto wake aachike wakati huo huo wengi wanapenda wachepuke kwa raha zao. Ndo maana ya mawazo yangu yale ya awali
Narudia tena kila mtu na uelewa wake "You can lead a man to KNOWLEDGE but you can't make him think...
 
Back
Top Bottom