Pole sana
Hata mimi na dada na mazingara kama haya yalitokea....
Conclusion : kwanza Tell her close friends to advise her, pili mwacheni ajifunze kwa miezi kama mitatu inatosha atarudi nyumbani mwenyewe
Ps Akiwa huko, jaribu kuwe na mtu wakupata habari zake about her security ila msimwingilie, with time she'll learn from experience.....