Tupo radhi kukosolewa popote pale tulipoteleza katka malezi ya huyu binti, ni aibu kubwa kwa familia yetu.
Aozeshwe..!!?
Binti bado mdogo sana kuyakabili majukumu ya ndoa.
Aozeshwe..!!?
Binti bado mdogo sana kuyakabili majukumu ya ndoa.
Wewe unaona ni mdogo, lakini yeye tayari anajiona kaiva ndiomana kahama kabisa nyumbani.
Mnataka awazalie hapo nyumbani?
Mtafuteni huyo mchumba wake kupitia kwa hao marafiki kisha muozesheni tu!
ahsante kwa ushauri wako, taarifa tayari tumeshatoa police.
Mtoto akililia wembe mpe.Aozeshwe..!!?
Binti bado mdogo sana kuyakabili majukumu ya ndoa.
usiombe yakukute ndani ya familia yako, inauma sana..!?