Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Mi sijambo kijana, naona siku hizi kuna wageni kibao.....full kusocialize tu eeh!!
Mie najua basi wangu...Mie mwenyewe niko bize kama kunguni...huwa nachangia thread mara moja moja.
Hahahaaa kumbe nawe ndo walewale tu alafu unasema mie nimeadimika! Lol
Usiku huu unamendea mabinti wa wenzio au upo kaunta yakhe?
Imiss u babu
Ulishajarib rusha nyavu?