Binti wa kwanza kuuu ..!??

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,942
Reaction score
23,893
... NAFUNGUKA SASA..

Binti wa kwanza ku tokea ktk huu uzi.. Automatically atakua amenikabidh 20%..ya moyo wake .. 80% zilizobaki ntazitafuta n I promise...hatojutia..!!

Haya sasa...!!
 
...aaisseee
ama kweli ??

Grls toss the dice...
 
thread closed.. Only if Kipipi is a she?

Namalizana nae kwa PM..
 
Last edited by a moderator:
Unasemaje? Mbona sikusikii? Unakatikakatika sana! Kuna network hapo ulipo? Ayy... Ahh... Sikusikii na sijaelewa, kwa heri data..
 
Unasemaje? Mbona sikusikii? Unakatikakatika sana! Kuna network hapo ulipo? Ayy... Ahh... Sikusikii na sijaelewa, kwa heri data..


mpango mzima..
 
Niende wapi ndugu, mi nipo tu!

Bidada ulivyojaaliwa uso mkavu! Sijui niseme wa-mbuzi! Hoja ziko juu hapo umezilia kabbnyau!
Kama huzioni vile! Pm ya mleta mada ikawaje ..........
 
Bidada ulivyojaaliwa uso mkavu! Sijui niseme wa-mbuzi! Hoja ziko juu hapo umezilia kabbnyau!
Kama huzioni vile! Pm ya mleta mada ikawaje ..........

We nae! Sijaona hoja ya kujibu hapo, labda unisaidie kuainisha ambazo we umeona!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…