Binti wa kizigua anataka kunipeleka kwao. Naombeni ushauri wa haraka

we mtu wa mombassa sheikh, au mi nimeishi tanga miaka 3 hivi.

watu wa tanga wako hivi kwanza wengi waislamu kwa dini na wanaishi kindugu sana binti yao akiolewa lazima wajue hasa kama anaishi kwao,

Wapo serious kwenye mazungumzo ni waongeaji sasa ukisema unamtaka huyo binti basi wanakupa kwa masharti ukakae nae na waje kwako kufanya sherehe kiufupi wanapenda sherehe sana wapo radhi wakae sehemu penye ubwabwa.

ukiwa vizuri kipesa jiandae kupata ndugu wengi unapoishi karibu nao, labda uchukue binti ukae nae mbali kidogo wasieze kufika unapokaa maana kama panafikika kwa mguu au kwa baiskeli aiseee brother utapata ugenii hadi utachukia, maana baiskeli zitakufuata mlangoni mpaka😂😂😂😂😂

wanapenda mteremko wakike kwa wakiume wanaka uvivu fulani tunaita umwinyi,

mtoto wa kike kuna muda usipo msemesha anakuona wewe boya kwahiyo kuwa mkali kwa kumfunza kiislamu akuheshimu bila hivo atakukudharau, usipoonyesha uanaume wako huwezi ishi naye akakupenda lazima ataliwa kirahisi, ataambia men mwngine nataka hogo lako waweza nipa vizuri maana mie najilia mwenyewe.
 
we mtu wa mombassa sheikh, au mi nimeishi tanga miaka 3 hivi.

watu wa tanga wako hivi kwanza wengi waislamu kwa dini na wanaishi kindugu sana binti yao akiolewa lazima wajue hasa kama anaishi kwao,

Wapo serious kwenye mazungumzo ni waongeaji sasa ukisema unamtaka huyo binti basi wanakupa kwa masharti ukakae nae na waje kwako kufanya sherehe kiufupi wanapenda sherehe sana wapo radhi wakae sehemu penye ubwabwa.

ukiwa vizuri kipesa jiandae kupata ndugu wengi unapoishi karibu nao, labda uchukue binti ukae nae mbali kidogo wasieze kufika unapokaa maana kama panafikika kwa mguu au kwa baiskeli aiseee brother utapata ugenii hadi utachukia, maana baiskeli zitakufuata mlangoni mpaka

wanapenda mteremko wakike kwa wakiume wanaka uvivu fulani tunaita umwinyi,

mtoto wa kike kuna muda usipo msemesha anakuona wewe boya kwahiyo kuwa mkali kwa kumfunza kiislamu akuheshimu bila hivo atakukudharau, usipoonyesha uanaume wako huwezi ishi naye akakupenda lazima ataliwa kirahisi, ataambia men mwngine nataka hogo lako waweza nipa vizuri maana mie najilia mwenyewe.
Aisee na kwenye mambo ya kufungwa imekaaje
 
Aisee na kwenye mambo ya kufungwa imekaaje
inategemea na mwenendo wake na atavokuona ulivo ngoja nikupe siri ukitaka asikufunge basi usiruhusu sana akae na ndugu zake au mashoga zake kila mara lakini sijasema asiwe nao lakini isiwe too much yuko nao.

afu hakikisha yeye anakupenda afu umfunze dini ili awe mbali na maruani asifikiri kukufunga, pia mwanamke wa kiislamu kila kitu anasikiliza mumewe sasa wewe la msingi inabidi umuongoze kila jambo usiwe zuzu brother.

sokoni uende wewe,
avae vizuri akienda kuswali,
mpe uhuru kiasi maana mwanamke wa kiislamu ukimbana sana atakulia timing achepuke kwa makusudi tu kwamba kwani nini unambana wakati hapendi,
kwahiyo soko la nguo aende,
akatembee ufukwe na shoga yake mmoja mtiifu uwe unafatilia pia ujue anaenda kweli?

mkiwa ndani au nyumbani pekee yenu mwambie avae nguo za utupu tu.
toka nae out ukiwa na baiskeli mkononi.

usimfanyishe makazi ikiwezekana pika ugali yeye apike mboga tu.
mfungulie biashara nyepesi ya kibarazani.

KAKA MI MKIRISTO TENA MCHAGGA LAKINI NAWAJUA NA LAZIMA NIOE MKE WA NAMNA HIYO MUISLAMU.
 
huu mtihani wa kuoa Tanga kwangu naeza sema ni mwepesi kama nitapata mwanamke mwenye ustaarabu anayejua kuswali hasa na kama mkiristo kama mimi imuonage pale chumbageni au st nini sijui panaitwa kanisa la mashahidi wa uganda, tanga nimepamisi mnoo.....
 
Utaoaje muislam wakati wewe ni mkristo huoni kuna utofauti hapo mkuu
 
Kwanini nijipeleke wakati sina uhakika huoni itakuwa mushkiri
Wewe ni Mndengereko wa Kibiti. Kilifi hatuna tatizo la LA na RA.
Mushkil hatuwezi katu kutamka 'mushkiri'.
Mtiririko wako wa lugha ni Kimrima kabisa wala sio cha pwani ya Kenya.
 
Habari za Leo wanaJamiiForums wote na poleni kwa majukumu ya kilasiku ya kutafuta kipato.

Niende kwenye mada moja kwa moja kiufupi mimi ni mpita njia nimetokea maeneo ya kilifi Kenya kuja Tanzania kutafuta fursa mbili tatu za kimaisha na malengo yangu binafsi zaidi ni kufika jiji kubwa la Dar es Salaam, nimepitia njia ya tanga na nikaona sio mbaya nikae siku mbili hapa tanga ili niangalie mazingira ya hapa kwa ujumla.

Kwakweli nilivutiwa na life style ya watu wa huku kuanzia kwenye ukarimu wao na maisha yao kwa ujumla wanavoishi. Katika siku mbili hizo nikakutana na binti mmoja mkarimu sana ambaye ndio alikuwa ananielekeza baadhi ya sehemu za huku na alinitambulisha kuwa yeye kabila lake ni zigua.

Basi nikapanga niongeze siku mbili zingine za kukaa huku kwa maana nizidi kutembelea sehemu nyingi zaidi, hizo siku nne za kuwa huku ziliisha jana lakini nikaona sio mbaya niongeze mbili zingine ambapo leo na kesho, sasa huyu binti kaniambia kwakuwa nitaondoka kesho kutwa basi sio mbaya nikaenda nae kwao ambapo ni nje kidogo ya mji kwa siku ya kesho halafu ndio niondoke.

Kusema kweli kwa ukarimu alionionesha tangu siku ya kwanza hapa nilishindwa kumpa jibu la haraka nikasema basi anipe muda halafu nitamjibu

Sasa wanajukwaa naomba ushauri wenu vipi nimkubalie kwenda kwao au vipi kwa maana mimi ni mgeni na sijui vizuri utaratibu wa maisha ya watu wa huku vizuri.

Nilikuwa naomba ushauri wenu wanajukwaa.

Asanteni!
Less than a week unaenda kwao? Karibu Tanga wenzio tukipata nauli tumekula zawadi na tukipata zawadi nauli hakuna..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom