Binti wa kizigua anataka kunipeleka kwao. Naombeni ushauri wa haraka

Mkuu we ndo umeshafika tanga , hutoki hapo na hata kwenu hurudi tena
 
Why nipe maelezo kidogo
Life style ya Pwan kuona wanawake wakipita na madera tako likinesa nesa, ukiomba papa ata kama huna pesa uswazi unakula papa kama kawa, vitu vya mahitaji virahisi kupatkana alaf sasa na michezo ya kufungwa usirud kwenu maana wanapenda wageni sana sababu ni watafutaji wanajua akikupata hata laa njaa tofaut na wazawa wa hapo kaz zao zimeshazoeleka.

Bado niendelee boss au akili zimeanza kukaa sawa? Subiria Dushe lianze kupakwa asali alaf linanyonywa maji ya kuoga bafuni yamepuliziwa mpaka udi au ubani na viungo nakshi vya kunukia ukitoka hapo hadi Mbupu zinanukia.

Mkuu niendelee au maana ukishafikia hayo Maelekezo nliyosema hapo juu ww kwenu hutataka kupaskia ata simu utakuwa hupokei..
 
Hapo kwenye kufungwa ndo sijaelewa mkuu
 
Nimecheka Sana Jinsi Shemeji yetu Mkenya Alivyo Serious Kukuona huko KWEDIBOMA KWEDIKWAZU SINDENI.

Shemeji nikuambie kitu,wazigua ni watu WAKARIMU SANA....
Hawapendi dharau hata KIDOGO.....
Ukitaka kumtafuta muhali mzigua basi mzingue....
Ni watu wanaopenda kumaliza mambo haraka kwa njia ya mazungumzo,wako STRAIGHT,hawana konakona......
NI watu makini wanaochunguza na kutafakari kila NENO utakalonena kinywani mwako......

Wazigua kama Jamii ya Makabila Yaliyotokea Morogoro(wasambaa,wabondei,wazaramo) huamini na kuyaishi MAISHA ya UGANGA WA KIENYEJI......

Wazigua wengi wanaamini sana kwenye Mambo ya JADI yaani MIKOBA...

MIKOBA hiyo hurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine...
Hali hii huifanya kila femili kuwa angalau na mtu mmoja GWIJI wa elimu hiyo ya "yasiyoonekana" na hapa tafadhali usiite ni UCHAWI,kwani utakuwa unakosea.......

Wewe unatakiwa useme ni ELIMU tu na matumizi yake hulingana na lengo la mwenye hiyo elimu......
Ni sawa na Askari mwenye Silaha.......anatulinda ila akiwa kinyume chake Hali inaweza kutabirika😂😂😂

All and all watoto wa kike wa kizigua wana unyenyekevu mkubwa na kujitoa haswa kimapenzi kwa waume zao.Wanathamini Sana mahitaji ya waume zao kihisia,kimwili na kihali.

Mengine jiongeze mwenyewe kwani hayana tofauti na sisi WAAFRIKA wote.
 
Nimecheka Sana Jinsi Shemeji yetu Mkenya Alivyo Serious Kukuona huko KWEDIBOMA KWEDIKWAZU SINDENI.

Shemeji nikuambie kitu,wazigua ni watu WAKARIMU SANA....
Hawapendi dharau hata KIDOGO.....
Ukitaka kumtafuta muhali mzigua basi mzingue....
Ni watu wanaopenda kumaliza mambo haraka kwa njia ya mazungumzo,wako STRAIGHT,hawana konakona......
NI watu makini wanaochunguza na kutafakari kila NENO utakalonena kinywani mwako......

Wazigua kama Jamii ya Makabila Yaliyotokea Morogoro(wasambaa,wabondei,wazaramo) huamini na kuyaishi MAISHA ya UGANGA WA KIENYEJI......

Wazigua wengi wanaamini sana kwenye Mambo ya JADI yaani MIKOBA...

MIKOBA hiyo hurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine...
Hali hii huifanya kila femili kuwa angalau na mtu mmoja GWIJI wa elimu hiyo ya "yasiyoonekana" na hapa tafadhali usiite ni UCHAWI,kwani utakuwa unakosea.......

Wewe unatakiwa useme ni ELIMU tu na matumizi yake hulingana na lengo la mwenye hiyo elimu......
Ni sawa na Askari mwenye Silaha.......anatulinda ila akiwa kinyume chake Hali inaweza kutabirika

All and all watoto wa kike wa kizigua wana unyenyekevu mkubwa na kujitoa haswa kimapenzi kwa waume zao.Wanathamini Sana mahitaji ya waume zao kihisia,kimwili na kihali.

Mengine jiongeze mwenyewe kwani hayana tofauti na sisi WAAFRIKA wote.
Asante nimepata funzo kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom