kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,125
Kuna mtu humu aliwahi kutangaza kuhusu binti wa kazi Karatu.
Tukawasiliana kwa simu lakini kulikua na dalili za utapeli japo alijitia ulokole mwingi.
Tulishindwana mimi nilitaka nitume nauli kwa mtu nayemfahamu huko ndio ampakie ila huyo kaka akakataa akataka hela atumiwe yeye hata nusu ili amsafirishe dada, inayobaki nimtumie dada akishafika.
Muwe makini mno.
Hizi kesi zinatawala sana siku hizi mkuu. Hata Mimi nusura nilizwe kwa staili ya kutuma nauli.ilibidi hela ipitie kwa ndugu yangu alieopo pale.kuona hela haijaenda kwao direct wakagoma kuja Dar.
Muwe makini sana na maswala ya kutuma nauli.