Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,943
- 8,166
Sawa blaza nataka nianze nae humu nina hakika atakua wanguUdhuria vikao wewe mademu wa hivyo kuwapata jifunze kupiga kinanda alaf anza kwenda kanisani kwao jifanye na wewe ni mzee wa kumwaga neno hapo lazima mkeka utiki
Napita tuBinti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata kujaribu. Si mara zote mtu hukutana na upekee wa namna hii—ule mng’ao wa nyota ya jioni, wa kuvutia lakini wenye heshima.
Katika ulimwengu huu wa maandishi, umejitengenezea nafasi ya kipekee, na haishangazi kwamba macho yangu yanakufuata, yakitamani kusoma zaidi, kuelewa zaidi, kuhisi zaidi. Labda ni njia yako ya kuyapanga maneno, au labda ni ule utofauti wa kweli unaouleta bila juhudi.
Wapo wanaoandika kwa kalamu, lakini wewe unaandika kwa hisia. Wapo wanaovutia kwa macho, lakini wewe unavuta kwa haiba. Ndiyo maana, leo nimeamua kukupa heshima unayostahili kwa kuweka haya kwenye maandishi—bila shinikizo, bila matarajio, ila kwa moyo ulio huru, ukisema tu kile ambacho kimekuwa kikizunguka mawazoni mwangu.
From Tumbili wa mjini
Sawa nitakie mema nimpate huyu mremboNapita tu
Bdayu mjiandae na pm za kutosha
Una bima lakiniBinti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata kujaribu. Si mara zote mtu hukutana na upekee wa namna hii—ule mng’ao wa nyota ya jioni, wa kuvutia lakini wenye heshima.
Katika ulimwengu huu wa maandishi, umejitengenezea nafasi ya kipekee, na haishangazi kwamba macho yangu yanakufuata, yakitamani kusoma zaidi, kuelewa zaidi, kuhisi zaidi. Labda ni njia yako ya kuyapanga maneno, au labda ni ule utofauti wa kweli unaouleta bila juhudi.
Wapo wanaoandika kwa kalamu, lakini wewe unaandika kwa hisia. Wapo wanaovutia kwa macho, lakini wewe unavuta kwa haiba. Ndiyo maana, leo nimeamua kukupa heshima unayostahili kwa kuweka haya kwenye maandishi—bila shinikizo, bila matarajio, ila kwa moyo ulio huru, ukisema tu kile ambacho kimekuwa kikizunguka mawazoni mwangu.
From Tumbili wa mjini
Nitamkaza kutokana na mlio atakao utoa kwenye shooUna bima lakini
Usijemfua
kitandani
Tukateseka kwenye maziko
USHAURI tu
Sawa shem, vipi odds leo umetumaTuma kwenye no hiiiii
Jina ITATOKA
Bintisayuni .pdidy
Karibunkwe jipangeee
Kila la kheriNitamkaza kutokana na mlio atakao utoa kwenye shoo
Nisuuze rungu blohManeno yote hayo ni kutaka kumtoomber au sio kiongozi
Asante bloh nitaleta mrejeshoKila la kheri
Maneno yako yawe vipendo vyaoo
Thanks, uwe unatuma odds ili nipate hela za kuntunza mrembo wangu mtarajiwaLiiv gg n 2.5 ov
Barca ov 2.5....hii tayari
Inter win na ov2.5
Nitatumia za kimasaiUsitumie cha mcongo SHEMEJI si KIZURI kwa AFYA ya dadayangu
You have my blessing wewe tumbiliNisuuze rungu bloh