Binti ninayetafuta kazi

Binti ninayetafuta kazi

natafutakazi

Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
26
Reaction score
12
Habari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako

Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa

Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox

Tuzungumze vema ila sitaki majaribu

Kama huna kazi Basi pita tu
 
Natafuta mtu wa kusafiri naye ninakoenda kokote maelewano tu
 
Huu ukahaba ulianzua Facebok ukaja instagram na sasa u.ehamia Jamiiforums...👏👏
 
Naona hata mwandiko wenyewe ni shida,
sasa bora ueleze kazi za aina gani unaweza na zipi huwezi.

Utaweza kazi za ualimu!
Finance and accounting !

Bila shaka huwezi
 
Habari yenu ndugu mimi ni binti ,nimekuja hapa kutafuta kazi ,nakuakikishia huto juta kuniajiri kwenye kazi yako

Kwakua ni mwaminifu na pia ni mvumilivu
Ila ninacho penda kueshimiwa,na kukosolewa ninapo kosea na kurekebisha makosa

Naamini ukinipata huta juta kwa anae sumbuka na kupata mfanyakazi ake inbox

Tuzungumze vema ila sitaki majaribu

Kama huna kazi Basi pita tu
nitumie.picha yako pm unayoonekana mwil mzima juu had chini iwe recent.Tuma picha mbil moja uwe umegeuka nyuma nyingine unatizama mbele.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom