Binti nimpendae anataka hela tu

Kubeba mimba uneshapata mtu wa kukupatia
 
mkuu kama ni wewe lakini omba mbunye mapema kabla aja kuchuna mpaka uso
 
Ungeondoa nimpendaye ningekuwa na nguvu ya kukushauri nachelea kuficha ushauri wangu kwa heshima ya "nimpendaye"neno tukufu sana hilo
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...

Penye uzia, penyeza rupia...

Wewe upo kwenye ile list ya wale binadamu wabishi sana ndiyo maana unaona shida kumpa pesa mwanamke...


Cc: mahondaw
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...

Penye uzia, penyeza rupia...

Wewe upo kwenye ile list ya wale binadamu wabishi sana ndiyo maana unaona shida kumpa pesa mwanamke...


Cc: mahondaw
Mwanamke anayeomba sana hela huyo ana upungufu wa akili kichwani. Mwanamke anayelia njaa huwa sitaki hata kumsikia sbb huyo analeta umaskini.
Mwanamke wa kukufanya kama baba yake mzazi siyo. Mm ukianza kunitangazia shida zako huwezi kuniona. Papuchi zenyew za siku hizo hazina utamu kitu ishakuwa used na Ransomware wengi.
 
Mkuu upo mkoa gani? Kama upo dar itabid uzoee tu, ni hali ya kawaida uku alafu ina bidi utambue kuchunwa raha sana sema ujazoea tu
 
Women are like clothes, no matter how poor you are u will get according to your type/level.
[HASHTAG]#Full[/HASHTAG] stop #
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…