Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
880
Kuna msichana ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake.

Hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzazi

Nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha.

Nb: Ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. Mapenzi bila pesa si mapenzi
 
Kuna msicha ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake. hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzaz. nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha. nb: ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. mapenz bila pesa si mapenz
Mkuu mpe tuu hela wala usihesabu umempa kiasi gani...we mpe tuuu...nasema mpeee...na wewe utaona zitakavyoongezeka...toa hela upate hela...upate akili ya kutafuta...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom