sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Hiii ndio bongo,wenyewe wanasema hakuna kumchelewesha.Mhhhh, huyo kiboko hata ma mkwe hamheshimu!
Imekaaa vizuri maana wamama wengine kwa kuhoji tu wamedhidi.Safiiiiiii
Mama mkwe aliishia kuguna tuuuuuuuuuu.eeeeeeh hiyo tamu cna mama mkwe kimyaa
Mhhhhhhhhhhhhhhh sijui zawadi gani hiyo ya ushindi tena maanaaaaaaaaaaaaaaaa///Safi sana na kama ningekuwa mme m2,na nikasikia anampa mama madonge hayo,Ningempa zawadi ya ushindi usiku huo.