Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,409
A true ZuleoneAlphaOne, this is ZuluOne
Man Down, I repeat Man Down
Requesting Medevac immediatelly
Over and out
Loud and clearA true Zuleone
He should be evacuated to Mnzazi,
Immediate before polution,
Do you copy
🤣🤣🤣🤣 kwahyo mkuu, kwa hili suala la jamaa hakuna "maake hapo kwanza ncheke" kama kawaida yako??AlphaOne, this is ZuluOne
Man Down, I repeat Man Down
Requesting Medevac immediatelly
Over and out
Huo usiri usikupe moyo sana. Mostly na wewe kaa kwa machale, maana huyo anaeza kukuua na kukuzika kwa siri apande mpunga juu ya kaburi bubu.Wasalaam;
Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU, mcheshi,mwenye adabu,anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe...
Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli... Kidume nikajitosa nika mwaga Sera kumbe mtoto alikua ananitamani kitambo jinsi nilivyokua naishi na x wife wangu.
hapakua na hiyana zaidi ya kusema yes tena big yes!!
Tumeanza mahusiano nimegundua ni msiri saana anaogopa hata rafiki yake wa karibu kujua uhusiano wetu.....
Nimeshtuka mpaka nawaza pengine ndo mana anasifika ametulia au ni vip hata sielewi....
Anajua Ku handle mwanamume vilivyo japo anaonesha si mzoefu saaana kwenye mambo yetu (X) sa sielewi ntashushiwa kitu chenye ncha Kali tena kama alichonichoma nachoX wife wangu au nitulie na huyu anaesemwa vizuri na ulimwengu mzima japo ana mapenzi ya siri mnoo??
😂😂😂😂😂😂nmeona nitoe taarifa ya Man down kwanza🤣🤣🤣🤣 kwahyo mkuu, kwa hili suala la jamaa hakuna "maake hapo kwanza ncheke" kama kawaida yako??
No man down Rastafarian!!AlphaOne, this is ZuluOne
Man Down, I repeat Man Down
Requesting Medevac immediatelly
Over and out
Sure .... Sema tushang'atwa na nyoka hua tunashtuka saanaUsiyachukilie mapenzi serious sana always utakuwa wa kuumia. Mapenzi ni Sanaa sanaa tu. Usiogope kuanza upya ndo maisha yenyewe. Life without challenges is useless.
Wanaomjua wanamkubali kinyamaa yaani hata first time ukamuonesha MTU mzima lazima amkubali wasi wasi wangu ni namna anavyoendesha mapenzi kwa siri ndo mama naogopa pengine tumepagwa wengiMzee baba, sisi tutakupa ushauri gani kwa mtu tusiyemjua kabisa?
Tafuta watu wanaomjua ndio wakupe mwongozo...
Naitafuta mkuu ntaipandisha kwa heshma yakoWeka picha yake upewe muongozo...
Mwana umetisha yaani nioteshewe mpunga juu ya kaburi langu ha ha ha...Huo usiri usikupe moyo sana. Mostly na wewe kaa kwa machale, maana huyo anaeza kukuua na kukuzika kwa siri apande mpunga juu ya kaburi bubu.
But all in all hongera mkuu
Inahusu vip yaan??Kapalilie kaburi Chato