Binti mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti mmoja

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MTOTO YATIMA, Jul 3, 2012.

 1. MTOTO YATIMA

  MTOTO YATIMA Senior Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Jamani kuna binti ambaye nimetokea kumpenda sana kupita maelezo, tunachart facebook na pia kwene simu sana tu ki ukweli kwa upande wangu naona amekidhi viwango but nimeogopa kumtongoza kwasababu nahohofia akinitolea nnje itakuweje nataman sana kuwa naye bt nikifikiria suala la kuambiwa tena your late ninaona itaniumiza sana.
  Nilisha wahi kuonana naye face to face mara moja tu .plse naomba msaada wenu.
   
 2. Y

  YAKO Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mkuu pole..
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kuna watu wako jela wamefungwa maisha
  kuna watu wamepata ajali wamekuwa walemavu milele
  kuna watu wamefukuzwa kazi na wana familia zinawategemea
  kuna watu wanaugua magonjwa yasiyo na tiba


  wewe unaogopa kupigwa kibuti? yaani hiko ni kitu cha kuwasimulia watu kuwa ni tatizo?
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa mmeshaonana,mbona ni rahisi.ila mapenzi ya siku hizi,mambo ya kuanza kujuana face book,mara nyengine mtu anakuwa ana chati na zaidi ya wewe.au labda na yeye ameshakupenda,anasubiri umuanze.tiririka kwake
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kaza moyo, huwezi jua usipofunguka
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  MTOTO YATIMA , wenzio wanatolewa nje kila siku mbona hawalii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanawake wanahitaji wanaume wanaojiamini, kutongoza tu una 0.5/100, mambo mengine itakuwaje!
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  kama umeweza kulisema hili mbele ya kadamnasi basi jikakamue umueleze huyo kigoli, ila hakikisha shughuli hiyo unaifanya ana kwa ana,sehemu yenye utulivu
   
 9. A

  Aswel Senior Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwaga sumu kijana akitapiga ujue sio riziki, akimeza shwari vinginevyo utabaki na kisebusebu wajanja watakuja kukuwahi.
   
 10. nover

  nover Senior Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jkaze kiume
   
 11. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  mmh kazi kweli
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkuu umesema amekidhi viwango! ni viwango gani? umesema mmekutana fb, unafahamu tabia zake? kwa ushauri wangu, mvute taratibu km rafk mchunguze kabla hujafunguka ujue tabia zake, kuonana cku 1 co kigezo ama mwnzetu una vigezo tofaut?
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Umemsahau labtec1 kwenye thread ya juzi, yeye analia mpaka leo hata mtu mwenyewe hajamuona!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Pengine term 'kibuti' ngeni kwake so kila akiwaza jinsi yakuli-handle anadata,..hajawah kuachwa wala kuambiwa 'No,i have a boyfriend..'
   
 15. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,167
  Likes Received: 3,372
  Trophy Points: 280
  Kweli yatima haachi malalamiko, mtokee ukitoswa jipange kwingine mademu ni urithi wetu.
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwani si facebook? Mapenzi mazuri sana yasiyohitaji gharama na kupotezeana muda na kuyabadilisha ni kujitafutia matata!
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  :mimba::mimba::mimba::busu ndivyo inavyotakiwa sawa..
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tell him The JF king of MMU..:coffee:
   
 19. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mademu wa fesibuku uwa hawakatai... tupia saundi uone, mi nshawala kibao tu
   
 20. MTOTO YATIMA

  MTOTO YATIMA Senior Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  yan tunaendana kwa mila na destur kwa maana ya kabila, pili sura yake inamvuto wa kutosha kwangu, tatu siyo sister du, na ni mpenda dini, na mwisho kwa jinsi nlivyo jitahid kumchunguza anapenda kujitma !
   
Loading...