WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Habari za asubuhi waungwana,
Poleni sana na uchovu wa weekend ndefu na sikukuu za Pasaka, hasa kwa wale wapenda bata kama mimi. Vitabu vitakatifu vinakwambia msema kweli mpenzi wa Mungu, sio siri nimejitaidi kuuchuna lakini roho inanituma niseme.
Imepita kama miezi mitatu tangu nifahamiane na huyu binti, tulifahamiana kwenye mgahawa mmoja upo pale Makumbusho barabarani unaotazama na geti la kwenda kwenye kota za usalama.
Mimi ni mteja wao mkubwa sana pale hasa nyakati napokuwa natoka kazini mida ya jioni huwa napitia pale kupasha tumbo. Huyu binti ni accountant kwenye Microfinance moja hapa mjini. Kiukweli huyu mtoto ameumbika, mrembo, mweupe, mrefu na msafi kweli kweli.
Amepanga nyumba nzima maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere ana usafiri mzuri i mean anatembelea Harrier Lexus pia ana ist pale nyumbani kwake anaishi na mdogo wake wa kike na housegirl pamoja na mlinzi wa kaka secirity.
Kwa ufupi yupo vizuri, ila kwa alichonifanyia siku ya Pasaka ndicho kimenifanya hasa nilete uzi huu kwenye meza ya MMU. Binti alinipigia cmu mida ya asubuhi akanikaribisha Pasaka niende nikapige msosi kwake. Nikamwambia siyo kesi nitaenda.
Kufika mida ya saa 8 ikabidi nimtie sound wife kuwa natoka mara moja, basi bhana baada ya my baby mama kunipa greenlight breki ya kwanza getini kwa huyu binti sio siri huyu mwanamke ni mtundu na anamapenzi hata jini mahaba sidhani kama anaweza kuwa nayo.
Baada ya kufika tuu nikapokelewa kwa bashasha za kufa mtu, mabusu na mashamsham kibao, ikabidi nihoji mdogo wake na housegirl wako wapi? Akasema wameenda kula Pasaka kwa mama yake anaishi Msasani. Basi libeneke likaendelea pale, sio siri sikutaka kabisa ku-sex na huyu mwanamke ila nilishindwa kujizuia na kujikuta maji yakizidi unga.
Nakiri kusema sijawahi pewa mapenzi kama haya jamani, huyu mwanamke ana mapenzi mpaka shetani anamuogopa. Najuta kusaliti ndoa yngu. Nafikiria kumuomba radhi wife japokuwa mpaka sasa hajagundua chochote kinachoendelea ila huyu mwanamke ametokea kunichanganya kwa kweli.
Nashindwa niamue lipi, maana nikimueleza wife ukweli hakutakalika ndani kabis. Nahitaji ushauri wenu, naipenda ndoa yangu na wife pia.
Angalizo: Wenye matusi uzi huu hauwahusu kabisa.