Binti mmoja katia doa ndoa yangu

Binti mmoja katia doa ndoa yangu

Haya maisha hayatabiriki.nahc jamaa hajapenda kutoka nje ya ndoa.lazma kuna kitu fulan kinakosekana ktk ndoa yake.coz kuna wanawake wavivu sana kwenye sex.sasa km mwanaume ambaye damu inachemka utafanya nn.km mim natafuta mchepuko Mkw wangu mvivu sana kwenye sex
 
Kama siyo tabia yake ya kuchepuka aachena naye mara moja...maana hamna siri chini ya jua....siku akimtegeshea ujauzito itakuwa shida zaid

Absolutely brada koz kuchepuka nako kuna formula ukiwa huna uta aibka mtaani...?
 
hzo mali kodi ya hiyo nyumba.vinalingana na mshahara wake.me naisi iko siku mwenye mke akirudi lazima wakugegede.
 
Huyu binti ni accountant kwny Microfinance moja hapa mjini. Kiukweli huyu mtoto ameumbika, mrembo, mweupe, mrf na msafi kweli kweli.

Amepanga nyumba nzima maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere ana usafiri mzuri i mean anatembelea Harrier Lexus pia ana ist pale nyumbani kwake anaishi na mdg wake wa kike na housegirl pmj na mlinzi wa Kk secirity.

Umeona huyu jamaa alivyo na fix
 
Vijana wa dar mabwabwa kweli asipotaja mikocheni na msasani story haijakamilika.fanya kazi acha story za kipumbavu
 
Habari za asubuhi waungwana,

Poleni sana na uchovu wa wknd ndefu na sikukuu za Pasaka hasa.kwa wale wapenda bata kama mimi. Vitabu vitakatifu vinakwambia msema kweli mpenzi wa Mungu, sio siri nimejitaidi kuuchuna lakini roho inanituma niseme.

Imepita kama miezi mitatu tangu nifahamiane na huyu binti, tulifahamiana kwenye mgahawa mmoja upo pale Makumbusho barabarani unaotazama na geti la kwenda kwenye kota za usalama.

Mimi ni mteja wao mkubwa sana pale hasa nyakati napokuwa natoka kazini mida ya jioni huwa napitia pale kupasha tumbo. Huyu binti ni accountant kwenye Microfinance moja hapa mjini. Kiukweli huyu mtoto ameumbika, mrembo, mweupe, mrefu na msafi kweli kweli.

Amepanga nyumba nzima maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere ana usafiri mzuri i mean anatembelea Harrier Lexus pia ana ist pale nyumbani kwake anaishi na mdogo wake wa kike na housegirl pamoja na mlinzi wa kaka secirity.

Kwa ufupi yupo vizuri, ila kwa alichonifanyia siku ya Pasaka ndicho kimenifanya hasa nilete uzi huu kwenye meza ya MMU. Binti alinipigia cmu mida ya asubuhi akanikaribisha Pasaka niende nikapige msosi kwake. Nikamwambia sio kesi nitaenda.

Kufika mida ya saa 8 ikabidi nimtie sound wife kuwa. natoka mara moja, basi bhana baada ya my bby mama kunipa greenlight breki ya kwanza getini kwa huyu binti sio siri huyu mwanamke ni mtundu na anamapenzi hata jini mahaba sidhani kama anaweza kuwa nayo.

Baada ya kufika tuu nikapokelewa kwa bashasha za kufa mtu, mabusu na mashamsham kibao, ikabidi nihoji mdogo wake na house girl wko wap? Akasema wameenda kula Pasaka kwa mama yake anaishi Msasani. Basi libeneke likaendelea pale, sio siri sikutaka kabisa kusex na huyu mwanamke ila nilishindwa kujizuia na kujikuta maji yakizidi unga.

Nakiri kusema sijawahi pewa mapenzi kama haya jmn, huyu mwanamke ana mapenzi mpaka shetani anamuogopa. Najuta kusaliti ndoa yngu. Nafikiria kumuomba radhi wife japokuwa mpaka sasa hajagundua chochote kinachoendelea ila huyu mwanamke ametokea kunichanganya kwa kweli.

Nashindwa niamue lipi, maana nikimueleza wife ukweli hakutakalika ndani kabis. Nahitaji ushauri wenu, Naipenda ndoa yangu na wife pia.

Angalizo: Wenye matusi uzi huu hauwahusu kabisa.
Duhh
1. Do la ndoa umelitia mwenyewe
2. Umekutana naye mgahawahi
3. Ukapiga sound
4. Akakukaribisha home
5. Ukakubali kwenda
6. Ukampiga sound mkeo
7. Ukaenda kwake
8. Ukaambiwa mdogo wake na housegirl wake hawapo
9. Ukatengenezewa mazingira ya kusex
10. Ukayakubali mazingira hayo
11. Ukasex
12. Mpaka leo UNASIFIA SEX ULIYOPEWA
13. KIUKWELI UNATAKA TENA

Katika mfurulizo huo hapo juu point ya 11 usingeifikia kama ungeikataa sehemu ya mfurulizo. Ni kweli ana nafasi yake kwenye kulaumiwa lakini wewe una sehemu kubwa ya lawama hizo.

Che kufanya

1. Usirudia tena kukaa kwenye mazingira ya kisex na yeye
2. Usimweleze mkeo na ukomeshe kabisa mahusianio naye
3. Kama una nia ya kuacha kusex naye, badili mgahawa...

Huyu binti ni accountant kwny Microfinance moja hapa mjini. Kiukweli huyu mtoto ameumbika, mrembo, mweupe, mrf na msafi kweli kweli.

Amepanga nyumba nzima maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere ana usafiri mzuri i mean anatembelea Harrier Lexus pia ana ist pale nyumbani kwake anaishi na mdg wake wa kike na housegirl pmj na mlinzi wa Kk secirity.

nitakuja na jina lake soon,,,,!
 
hapa kamtaja kabisa huyo binti.......bora angetaka jina mana kwa waishio maeneo hayo washamjua hyo dada......ushamba tu kumchoresha mtu
 
Habari za asubuhi waungwana,

Poleni sana na uchovu wa wknd ndefu na sikukuu za Pasaka hasa.kwa wale wapenda bata kama mimi. Vitabu vitakatifu vinakwambia msema kweli mpenzi wa Mungu, sio siri nimejitaidi kuuchuna lakini roho inanituma niseme.

Imepita kama miezi mitatu tangu nifahamiane na huyu binti, tulifahamiana kwenye mgahawa mmoja upo pale Makumbusho barabarani unaotazama na geti la kwenda kwenye kota za usalama.

Mimi ni mteja wao mkubwa sana pale hasa nyakati napokuwa natoka kazini mida ya jioni huwa napitia pale kupasha tumbo. Huyu binti ni accountant kwenye Microfinance moja hapa mjini. Kiukweli huyu mtoto ameumbika, mrembo, mweupe, mrefu na msafi kweli kweli.

Amepanga nyumba nzima maeneo ya Mikocheni kwa Nyerere ana usafiri mzuri i mean anatembelea Harrier Lexus pia ana ist pale nyumbani kwake anaishi na mdogo wake wa kike na housegirl pamoja na mlinzi wa kaka secirity.

Kwa ufupi yupo vizuri, ila kwa alichonifanyia siku ya Pasaka ndicho kimenifanya hasa nilete uzi huu kwenye meza ya MMU. Binti alinipigia cmu mida ya asubuhi akanikaribisha Pasaka niende nikapige msosi kwake. Nikamwambia sio kesi nitaenda.

Kufika mida ya saa 8 ikabidi nimtie sound wife kuwa. natoka mara moja, basi bhana baada ya my bby mama kunipa greenlight breki ya kwanza getini kwa huyu binti sio siri huyu mwanamke ni mtundu na anamapenzi hata jini mahaba sidhani kama anaweza kuwa nayo.

Baada ya kufika tuu nikapokelewa kwa bashasha za kufa mtu, mabusu na mashamsham kibao, ikabidi nihoji mdogo wake na house girl wko wap? Akasema wameenda kula Pasaka kwa mama yake anaishi Msasani. Basi libeneke likaendelea pale, sio siri sikutaka kabisa kusex na huyu mwanamke ila nilishindwa kujizuia na kujikuta maji yakizidi unga.

Nakiri kusema sijawahi pewa mapenzi kama haya jmn, huyu mwanamke ana mapenzi mpaka shetani anamuogopa. Najuta kusaliti ndoa yngu. Nafikiria kumuomba radhi wife japokuwa mpaka sasa hajagundua chochote kinachoendelea ila huyu mwanamke ametokea kunichanganya kwa kweli.

Nashindwa niamue lipi, maana nikimueleza wife ukweli hakutakalika ndani kabis. Nahitaji ushauri wenu, Naipenda ndoa yangu na wife pia.

Angalizo: Wenye matusi uzi huu hauwahusu kabisa.
mpe cheo shemeji tu hakuna namna umeshaonja asali tayari huwezi kuacha
 
Back
Top Bottom