mkuu hiyo nayo siri mkuu ww una dada? mke? au mdogo wako wa kike? hii siyo siri ni uchungu mkuu binti mdogo kaa huyu kashatoka mimba 4 na kumuliwa marinda ww unaona ni siri?Mkuu una umri gani mpk umeshindwa kumtunzia msichana wa watu siri aliyekuamini na kukuambia ukweli wa maisha yake
mkuu hii inatisha kwani Kuna njia salama ya kutoa mimba? hiyo ni dhambi mkuu mm nimemshauri tuu ajifungue isije akatoa badae akaja kuolewa akajakosa mtotoWelcome to the real world bro. Wewe umetembea na mabinti wangapi mpaka ulipokua huo umri. Umeshashiriki mara ngapi kuwaelimisha hawa mabinti wadogo ?
Maisha ni zaidi ya uijuavyo huyu ametoa mimba chache mno ukikutana na wengine kwa huo umri utalia.
Tujitahidi kuwasaidia kwa kuwapa elimu ya Afya ya uzazi tu.
Na utoaji mimba salama yaani safe abortion ingiwaje sio legal ila inasaidia.
Ni hatari sana kutoa mimba na huyo binti ameshiriki matendo ya hatari mara nne sasa na bado atashiriki.
Ungekuwa unamfahamu huyo msichana ningesupport wazo lako.Mkuu una umri gani mpk umeshindwa kumtunzia msichana wa watu siri aliyekuamini na kukuambia ukweli wa maisha yake