Binti mchepuko zingatia



Lakini Sayansi inasema kwamba Wanawake (wengi wao) hawawezi kutenganisha Sex na mapenzi, yaani tofauti na Mwanaume ambapo Mwanaume anaweza kulala na Mwanamke lkn asiwe na hisia naye hata kidogo yaani hisia sifuri, wkt kwa Mwanamke ni ngumu sana na ndiyo maana mara nyingi Mwanamke akichepuka basi mahusiano na yule aliye naye huwa ni kama yameisha, na anahamia kule alikochepukia, hivyo kwa ukweli huu usimlaumu Msichana wa watu alishindwa kama walivyo Wanawake wengi kutenganisha sex na hisia, cha kumshauri ni kuacha kuchepuka tu!
 
Nimekuelewa mkuu .. ila namwonea huruma
 
Nmependa sehem chache ktk hayo mwanaume anaemdharau mkewe is nt gud enough to b called mchepuko and mdada unatakiwa utambue kua mwanaume acje kwako kama sehem ya kupozea stress za familia yake.. And anatakiwa akuheshm especially pale atakapoona wivu akakuta una bf wako akalzmisha muachane just look into his thinking capacty....
 
usipime kirahisi mapenzi ngoja uachike na uone nitakavyo kuwa nakuletea mapozi na dushe langu...

hakuna kitu Kama hiko dushe unalo ww tu nikiachika nitapata mwingine
 
Are you serious kuwa alitaka kujiua au alikuwa anatania tu??

Maybe maana mioyo ya watu kichaka.
 
mume wa mtu usipoweka moyo hana stress, bata tu
Ukimchukulia mume wa mtu kama wa mtu unaeza fanya vng vbaya lakin ukiwa makin unafklia abt ur future wala uez umia cyo anakuambia tuzae ww unatega uo n uzuzu.... Coz at the end of tim aez kua mumeo labda uroge
 
Yaani hapa umegusa kwenye mfupa, yupo mmoja anafurahia kua na ujauzito wangu huku akijua fika nna mke na watoto na nilishamwambia siwezi kukuoa ukipata mpenz mwingine olewa tuu maana umri unaenda, cha kushangaza ndio kapata mimba na anafurahia huku akidai kama nna mpango wa kumwacha kwa kigezo cha kumtaka aolewe na mwanaume mwingine nisahau hana mpango wa kuachana na mm kabisa, nimebaki namwangalia tuu nijue mwisho wetu utakuaje!
 
Kiukweli

Ni Ujinga wa hali ya juu kutembea na mume wa mtu


Basi tu wanawake huwa hamjitmbui
 
Unadhambi sana.... Unaambiwa kama siri yenu tu unakuja kuyamwaga humu...
 
Hawaelewi hataa, unakaa na mume wa mume wa mtu relationship ya 7yearz kama mko kwenye utafiti. Ni kujipotezea muda tuu maana mwisho wa siku anarudi kwa mkewe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…