Mchepuko vs Wife...mkuje tujadili

Utajua ujui

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
249
832
Kiukweli Hakuna mwanaume Anayependa kuchepuka.

Wakati unaanza kuishi na Wewe ulikuwa mwanamke kigoli.unayenivutia Mwenye kujua kila update ya jambo.

Sasa naomba nikuambia kwanini mwanaume anatoka nje ya Ndoa.

Mchepuko ana kupa kila muda unapotaka.

Mchepuko anakupa style zote hadi rough sex anaiweza,kukata viuno.

Mchepuko unapigilia na full shanga na sauti ya mahaba.

Mchepuko hauna kisirani na kukasirika ovyoovyo.

Mchepuko msikivu na anajali.

Mke Hawezi kuondolewa na nafasi ya mchepuko ila wanawake walioolewa wanatakiwa wabadilike sana.

Mke atoe tendo la uhakika .

Nje na kutekeleza majukumu ya kifamilia kama kula ,kuoga na mume kuvaa vizuri pia anatakiwa ahakikishe mwanaume anayafurahia mapenzi.

Mke anatakiwa awe Mwenye malengo na mikakati ya kimaisha asikae kama gogo

Kiukweli wanawake mlioolewa kama hamtaamua kubadilika mtaendelewa kuchapiwa hadi mkufe.
 
Michepuko ndio inafanya ndoa ziendelee kudumu kwasababu hawa wanawake wana visirani sana ukijumlisha nahizi mentality zakudai haki sawa,ukimkomalia sana ndoa inavunjika. Kwaiyo mchepuko ndio kitulizo chetu
 
Hakuna jipya yote haya tushajadili sana maishani..


Tutumie siku ya leo kumuenzi hata nyerere
e5142e5fa5cd47b7946a8864f48df889.jpg
 
Michepuko ndio inafanya ndoa ziendelee kudumu kwasababu hawa wanawake wana visirani sana ukijumlisha nahizi mentality zakudai haki sawa,ukimkomalia sana ndoa inavunjika. Kwaiyo mchepuko ndio kitulizo chetu

Yaani mnaongea as ni nyie peke yenu ndo mnafaidi huko nje🤔
 
Yaani mnaongea as ni nyie peke yenu ndo mnafaidi huko nje🤔
Sis hatuendi kufaidi,ila ni joto landani linalosababishwa feminist movement kwenye ndoa ndio linatupeleka nje. Ndan kwamoto sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom