mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Wakazi wa maeneo ya mjimwema makaburini mkoani Ruvuma wilaya ya songea mjini,usiku wa kuamkia leo wamekutana na kioja baada ya kumkuta binti akiwa uchi makaburini.baada ya kumuhoji kulikoni anacheza juu ya makaburi akaeleza alikuwa yeye na wenzake wakisafiri kwa njia ya anga.bahati mbaya akatoa mkono kuchungulia nje.kilichotokea akawa
ametua makaburini