Binti hamtaki Mama Mzazi

Binti hamtaki Mama Mzazi

Mlijuaje yote hayo?

Isije ikawa mtu mmoja mwenye chuki naye anamchafua tu.

Swali dogo: Huyo binti aliyefanyiwa ubaya na mama wa kambo... kiasi cha kumchongea mpaka akafukuzwa chuo.... ikatokea kwa jitihada za mama mzazi binti kasoma mpaka kamaliza chuo..... Inakujia akilini kweli binti wa umri huo na elimu hiyo asiujue ubaya wa mama yake wa kambo kiasi cha kumkumbatia na kumtosa mama yake aliyemsaidia wakati wa shida??

Kaswali kengine: Nini kimemfanya huyu mama ea kambo kujipendekeza kwa binti kwa kuwa kapata mchumba? Anaolewa na mtoto wa Rugemalira au Prof Tibaijuka?

Hapo juu penye rangi rangi pamenifanya nitabasamu.
 
Ningekuwa karibu ningemcharaza fimbo huyo binti. Mama aliyembeba tumboni miezi 9 leo hamthamini.

Huyo dada akijakupata mtoto naye akaitwa mama, ataelewa ukubwa wa kosa analolifanya sasa.

Ndugu usidanganyike na vilio feki vya hawa wamama wazazi. (sio wote). Nina mifano mingi sana ya wamama kutelekeza watoti wao mazima. Huwarudia pale wanapoona wameanza kufanikiwa. Wakipigwa chini wanaanza visa kama hivi. Haiingii akilini binti aliyenyanyaswa na mama wa kambo kiasi hicho bado aendelee kumkumbatia na kumkana mama yake mzazi. Ni mwendawazimu pekee anayeweza kufanya hivyo.
 
Seriously......! Kwa sisi wanawake hasa sie wa kichaga, Hainiingii akilini unamtelekeza vipi mtoto uliyeamua kumzaa.....

Hata kama ungekuwa na hali ngumu ya maisha kiasi gani.
 
Naumia mwe jaman mweee

Usiumie... wamama wengine bora waadhibiwe kwa mtindo huo. Mi nna kabinti nlikapata enzi za utineja. Kanalelewa na wife wangu (mamake wa kambo). Hivi sasa kako chuo na kameshaamua kumkana mama yake mzazi mazima. Ana miaka zaidi ya kumi hajamsikia waka hajamuona. Sitashangaa kakimaliza chuo mama yake akaja kulalamika mwanae kamtosa....

Wanawake wengine ni visirani tu, japo simaanishi anayezungumziwa hapa ni wa namna hiyo.
 
Heri ya mwaka mpya mpenzi....

Mi siamini kama hii stori iko balanced. Kuna kitu kinafichwa hapa afu jumba bovu anarushiwa mama wa kambo. Hii dhana mama wa kambo si mama wanawake mnatakiwa muiangalie kwa upande wa pili..... mchawi wa mwanamke ni mwanamke.

Ukiangalia hii stori imeandikwa na ndugu wa upande wa mama mzazi.... soma katikati ya mstari utagundua mama anarudisha majeshi baada ya kuona binti kishaanza kupata maisha katika mwanga bora.
Heri ya mwaka mpya kwako pia babu dearest.

True. Yani mi naona malalamiko tuuuuu toka kwa mama na wachangiaji pia. Eti kambeba miezi 9 sijui ni na nini. Kumbeba mtoto miezi 9 sio kigezo pekee cha yeye kumpa mama yake heshima. Na nnaongea hivi nikiwa kama mama. Unachomfanyia mtoto baada ya kumzaa counts a lot.

Binti atakuwa anaona mama yake alim-betray for not being there. Pia ana sababu za kuwa karibu na mama yake wa kambo moja wapo ikiwa KUMLEA hata kama alimnyanyasa au la, yeye alikuwepo kipindi mama yake hayupo.
 
Seriously......! Kwa sisi wanawake hasa sie wa kichaga, Hainiingii akilini unamtelekeza vipi mtoto uliyeamua kumzaa.....

Hata kama ungekuwa na hali ngumu ya maisha kiasi gani.

Tena mabinti wa kichagga wakinyanyaswa kidogo tu na mama zao wa kambo hukimbilia kwa mama zao, wajomba zao, babu zao et el.

Toto liko chuo bila msaada wowote toka kwa mama wa kambo au baba mzazi kiasi cha mama kuokoa jahazi afu limtose???

Labda awe na ubongo wa maji taka.
 
Heri ya mwaka mpya kwako pia babu dearest.

True. Yani mi naona malalamiko tuuuuu toka kwa mama na wachangiaji pia. Eti kambeba miezi 9 sijui ni na nini. Kumbeba mtoto miezi 9 sio kigezo pekee cha yeye kumpa mama yake heshima. Na nnaongea hivi nikiwa kama mama. Unachomfanyia mtoto baada ya kumzaa counts a lot.

Binti atakuwa anaona mama yake alim-betray for not being there. Pia ana sababu za kuwa karibu na mama yake wa kambo moja wapo ikiwa KUMLEA hata kama alimnyanyasa au la, yeye alikuwepo kipindi mama yake hayupo.

Exactly.....

Afu ukute hata hajanyanyaswa. watoto wengi wa kambo wana ile dhana kuwa wakionywa na mama zao wa kambo basi wanakuwa wananyanyaswa. Hii dhana inabidi ikemewe.....

Si mama wote wa kambo ni wabaya. Na wala si mama wote wazazi ni wazuri.

Cha msingi hapa.... wanawake pendaneni.

Kw mustakabali huu namwomba mleta hoja alete na habari ya upande wa pili wa mama mlezi. Habari ya upande mmoja ni ukanjanja.
 
Mama ni mama tu. Upo mwaka atamlilia.
Binti naye kama karogwa vile.
 
Kama uyasemayo yana ukweli na mama yake alimwacha baada ya kukataliwa na baba na siyo genye zilimsahaulisha kama ana mtoto then huyo msichana atakuwa amerogwa na Mama mlezi (kambo) wake.... Cha kufanya mwambie mama mzazi amwombe mwenye nguvu zaidi ya shetani atamfungua mwanae na atamwona tena.
 
Exactly.....

Afu ukute hata hajanyanyaswa. watoto wengi wa kambo wana ile dhana kuwa wakionywa na mama zao wa kambo basi wanakuwa wananyanyaswa. Hii dhana inabidi ikemewe.....

Si mama wote wa kambo ni wabaya. Na wala si mama wote wazazi ni wazuri.

Cha msingi hapa.... wanawake pendaneni.

Kw mustakabali huu namwomba mleta hoja alete na habari ya upande wa pili wa mama mlezi. Habari ya upande mmoja ni ukanjanja.

Hehehehe wanatakaga hata wakikosea wasigombezwe wala kukanywa, yani walelewe kama mayai japo na yenyewe muda ukifika lazima yapasuliwe.

Hiyo dhana kweli inatakiwa itokomeswe, haswa pale inapoonekana kabisa kwamba mama mlezi (wa kambo) hana tatizo hata kidogo. Ila mi nashauri sana wababa mnapooa huku mkija na watoto wa ujanani/previous marriages muwe mnachunguza kujua wake zenu wanaishije na watoto pindi nyie hampo nyumbani. Pia malalamiko mnayopewa juu yao pindi mrudipo, badala ya kurukia tu kuwaadhibu ili kumridhisha mke. Mkiwa fair hata watoto watapunguza ile chuki ya mama wa kambo inayorithishwa ndani ya jamii yetu.
 
Huyu binti ni mthenge sana. Kama mimi ndo ninaye kumuoa ningekuwa na dosari naye sana.
 
Huyo kuathirika kisaikolojia , ugonjwa wa akili unamuhusu.
Hafai hata kuoa , mumewe atapata tabu sana.
 
Nani kama mamaaaaaaaaaaaa.........nani kama mamaaaaaaaaaaaaaa.......hakuna kama mamaaaaaaaaaaaaaaa......
 
Hajitambui asubiri akienda leba atajua thamani ya mama
 
Huyo nadhani ana laana maana si bure umkatae mzazi wako kwa vitisho vya mtu asiyekuwa na uchungu na wewe
 
binti hana msimamo!!
mama ni mama tu !!!
atarudi mwenyewe kwa mamake kwa magoti!!!!
 
Back
Top Bottom